Makau Js
Member
- May 25, 2017
- 93
- 233
-Ewe mwanamke mrembo wa sura na shape ,ndege hujumuika na ndege wa aina yao ndivyo na ukweli unavyoandamana na wale wanaoutekeleza/mwisho wa mwaka umefika ewe wangu mrembo ni wakati wa kubadili tabia na mwenendo mpya.
Uzuri wako wa sura na shape yatakiwa ukufanye uwe imara wa tabia pamoja na haiba njema/punguza tabia ya kugawa number za simu kwa kila mwanaume anayekuomba,usikubali kuwa chombo cha kuwastarehesha wanaume walafi.
Punguza idadi ya wanaume na tengeneza mwenendo mzuri na wekeza pesa yako kwenye ubongo na sio kwenye mavazi na make up ili kuwa na future nzuri/ mwanaume bora ni yule anayependa moyo wako na akili yako na sio mwanaume anayependa shape yako na sura yako.
Chukua tahadhali na sifa unazopewa za sura yako na shape yako sababu uzazi ukija shape huondoka na uzuri hupotea na penzi pia hupungua sababu mwanaume alitamani shape na sura /Mwaka mpya na mambo mapya /futa picture zote za nusu utupu na picture zote za maboyfriend kwenye social media sababu mwakani anakuja mume bora anatakiwa kukuta usafi wa mwili ,tabia na akili.
Maandiko yanasema mke mkimya ni zawadi kutoka kwa Bwana,hakuna bei ya kufaa kulingana naye jitunze utunzike,jiheshimu uheshimiwe/wanaume wanataka mwanamke bora kwa tabia na akili mrembo wangu,wanaume waoaji wapo wengi ila tatizo ni wewe mrembo.
Mrembo usisahau mke anayelewa husababisha hasira na mwanamke mlevi hawezi ficha aibu yake ,tafadhali mrembo zikimbie savana na jiandae kuwa mrembo bora wa sifa na tabia una kila kitu bora cha kuwa mke mwema ila badilisha tabia ili mwakani upate mume bora na uheshimiwe na kila mtu.
Mrembo wangu nina kinywa laini cha kuandika karatasi yenye urefu wa KM 70 ila naomba niishie hapa kwa leo ila kumbuka mapenzi matamu ni yale ya mwanaume mwenye mapenzi ya dhati na sio mwanaume mwenye pesa ambazo haujazihangaikia [HASHTAG]#NobleWomen[/HASHTAG]