Kwako Mkurugenzi wa Kilimanjaro Express Arusha

bibinnaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,500
1,376
Mkurugenzi, naleta malalamiko kwako kuhusu watu wa parcel Arusha.

Sasa hivi saa nane na dakika 25 nimepeleka parcel ndogo sana ya kama kilo moja nikaambiwa ni shs 25000/= ndani ni makaratasi tu, halafu wakasema 15000/= na siku zote tunatuma kwa elfu tano.

Nimewaambia watume kitalipwa Dar wamekataa.

Bwana Mawalla kaa chonjo, wanakuharibia biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bibinnaa,
Mmiliki ni Sawaya,
Ndugu, mbona Arusha to Dar magari yako mengi tu mazuri na yote yanasafirisha mizigo/vifurushi kwa bei nafuu tuu?
Hao wanaringia majina makubwa tu na kuwa na magari mengi, lakini huduma ni zilezile kwa magari mengine.
 
Shida si magar, tatizo wamepandisha sana kusafirisha parcel, mfano huyu jamaa, alikuwa anamtumia mchumba wake nguomza ndani ambazo kanunua kwa elf kumi na mbili lakini kusafirisha ni mara mbili yake
 
Kuna msisita mmoja mweupeeee mahips kuleeeee na Kuna kengine kembamba kembamba Ila shepu ya ukwelii kasoro sebule ndo sijaikubali.. ngoja nisiendelee.. mkuu kwa wale mabinti mie ningetoka hizo 25 bila kuhoji...

Kilimanjaro Express Uhakika wa Parcel Kufika Salama.
 
Watoto wa sikuhizi ishu ndogo ushakimbilia kuandika JF we unajua kama na yeye ni member humu? Mambo mengine ungemtafuta kwa simu yake umwambie.
Mkurugenzi, naleta malalamiko kwako kuhusu watu wa parcel Arusha.

Sasa hivi saa nane na dakika 25 nimepeleka parcel ndogo sana ya kama kilo moja nikaambiwa ni shs 25000/= ndani ni makaratasi tu, halafu wakasema 15000/= na siku zote tunatuma kwa elfu tano.

Nimewaambia watume kitalipwa Dar wamekataa.

Bwana Mawalla kaa chonjo, wanakuharibia biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana nyodo balaa Aisee niliwahi tuma percel ni kaapa kuto rudi tena, mimi hata Basi zao huwa sipandi kabisa nisha acha kitambo
bibinnaa,
Mmiliki ni Sawaya,
Ndugu, mbona Arusha to Dar magari yako mengi tu mazuri na yote yanasafirisha mizigo/vifurushi kwa bei nafuu tuu?
Hao wanaringia majina makubwa tu na kuwa na magari mengi, lakini huduma ni zilezile kwa magari mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazani Percel huwa wanaangalia value, watumie midumo ya DHL ambapo Value pia humata.

Kama unasafirisha basha ina Lisiti tu ambazo hata zikipotea haziwezi nunuliwa tena hakuna haja yakuchaji ghari.
Shida si magar, tatizo wamepandisha sana kusafirisha parcel, mfano huyu jamaa, alikuwa anamtumia mchumba wake nguomza ndani ambazo kanunua kwa elf kumi na mbili lakini kusafirisha ni mara mbili yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bibinnaa,
Ndugu yangu kuna makampuni mengi yanatuma kwa elf 3 tu.
nenda ARUSHA ONE, hata namba ukitalka, wapo kariakoo, mbuyuni moshi na Arusha stendi kuu na kilombero wapo.
Kilimanjaro na Dar exprss kifurushi ni bei ya mtu kusafiri, nahisi siku Magufuli akijua atataifisha haya makampuni.
Sijui wananganganiaga hayo Magari ya nini? Mimi nilishayasahau hata kupanda.. kwanza Customer Care Mbovu. Mda mwingine unapanda gari zao AC hakuna..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi, naleta malalamiko kwako kuhusu watu wa parcel Arusha.

Sasa hivi saa nane na dakika 25 nimepeleka parcel ndogo sana ya kama kilo moja nikaambiwa ni shs 25000/= ndani ni makaratasi tu, halafu wakasema 15000/= na siku zote tunatuma kwa elfu tano.

Nimewaambia watume kitalipwa Dar wamekataa.

Bwana Mawalla kaa chonjo, wanakuharibia biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
TCRA wana wajibu wa kusimamia usafirishaji wa parcel na kuweka bei elekezi.Tatizo wapo kisiasa zaidi
Huku wakijidanganya ukiritimba wa Posta
 
Back
Top Bottom