Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Mheshimiwa Rais wewe unapenda usawa sana kwa wananchi tumeona kuna idara na taasisi za Serikali zinazotangaza maombi ya kazi kupitia sekretarieti ya ajira ivyo tunakuomba usaili usimamiwe na sekretarieti ya ajira ili kuondoa upendo leo
1:TPA
2:Nhif
na idara nyingine usaili usimamiwe na Sekretarieti ya ajira
1:TPA
2:Nhif
na idara nyingine usaili usimamiwe na Sekretarieti ya ajira