club6
Senior Member
- Apr 11, 2014
- 157
- 61
- Thread starter
- #41
Kwa hyo ww braza hujawah kuona watu wanapiga form 5 na 6 kwa mwaka mmoja na mwisho wanapiga pepa kama PC? Watu kibao wanafanya hvyo kusave muda na pesa,,,, em pitia majina ya Udsm ya mwaka huu usipokutana na watu waliomaliza mwaka 2014
Ahsante kwa kumuelewesha huyu jamaa.