Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,987
- 24,334
Honga. Ila tukikukuta tunakufumua. Mbwa wewe 😃😃😃
Naam, ngosha wa america.Wacha weeee,,we jamaa lazima utakuwa Ngosha wewe
Kama unashindwa kumhonga mpenzi wako inamaana hata hoteli za kifahari hutembelei, sasa utanipata wapi wakati mi ntamficha kwenye hotel ya nyota 5 asahau adha unazo mpa kila siku.Honga. Ila tukikukuta tunakufumua. Mbwa wewe 😃😃😃
😂😂😂Kilainishi=pesa......muasisi wa msamiati ni Bei Elekezi
Acha mawazo ya kiibilisi basi shemeji🤔🤣
Yaaani na turushe kwenye media zoteShogaa huna kipaza sauti tumpe jamaa🤷🤷????