mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,502
- 1,390
Unaonaje ukiwauliza waliopiga wananchi risasi walitumia sheria gani na amri ya nani? Mhalifu si huwa anakamatwa na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria? Au kuna sheria mpya ya shoot to kill hatujaijua bado?Una akili kweli au ubongo upo chooni mavi umeeka kichwani,
Tulia, Subirieni Surprises zenu.Baada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako? Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za waliopoteza maisha yao katika maandamano uliyoshinikiza? Au na wewe utakuja na ule msemo wa Nyerere baada ya vita vya uganda na Tanzania kwa maaskari waliorudi vitani "hatuna cha kuwapa, cha kuwapa ni ahsante"?
Baada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako? Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za waliopoteza maisha yao katika maandamano uliyoshinikiza? Au na wewe utakuja na ule msemo wa Nyerere baada ya vita vya uganda na Tanzania kwa maaskari waliorudi vitani "hatuna cha kuwapa, cha kuwapa ni ahsante"?
Kama mange ana ushawish kuliko watawala? Ina maana kuna mahali watawala wanazembeaBaada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako? Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za waliopoteza maisha yao katika maandamano uliyoshinikiza? Au na wewe utakuja na ule msemo wa Nyerere baada ya vita vya uganda na Tanzania kwa maaskari waliorudi vitani "hatuna cha kuwapa, cha kuwapa ni ahsante"?
Tumekubaliana tusijibu wala kuchangia post zaoUna akili kweli au ubongo upo chooni mavi umeeka kichwani,
RubbishBaada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako?
Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za waliopoteza maisha yao katika maandamano uliyoshinikiza?
Au na wewe utakuja na ule msemo wa Nyerere baada ya vita vya uganda na Tanzania kwa maaskari waliorudi vitani "hatuna cha kuwapa, cha kuwapa ni ahsante"?
Baada ya vilio vyako fake mitandaoni nataka kujua what is next? unapanga nini na vipi majeruhi walioingia mitaani kwa kufata wito wako?
Unapanga nini na vipi kuwapatia ubani familia za waliopoteza maisha yao katika maandamano uliyoshinikiza?
Au na wewe utakuja na ule msemo wa Nyerere baada ya vita vya uganda na Tanzania kwa maaskari waliorudi vitani "hatuna cha kuwapa, cha kuwapa ni ahsante"?