Kwako kipenzi changu pennina.....2

Kwako kipenzi changu pennina.....2

Ahya tukutane Ijumaa mungu akipenda, ila uirefushe kidogo ipate kuisha mapema

mkuu.... yaan hapa najitahidi niwezavyo kuifupisha pia.....ilikuwa ndefu mnoo.... but uschoke kuna mengi utajifunza hapo mbele.....huku mwanzo inaonekana kama inachosha hivi..... lakin ni nzuri huko mbele utaona mwenyewe.....
 
Sijui kwa nini mimi mvivu sanna wa kusoma

sio wwe tu.... hata mimi nilkuwa mvivu kisoma kama wewe... fikiria nimekaa nayo about one year....nimekuja kugundua hivi majuzi tuu kuwa ina lesson kwetu vijana.... plz usichoke....
 
Back
Top Bottom