vikosi makuruti
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 192
- 68
mwenye picha yake naomba aniwekee tafadhali.
Mwenye picha yake naomba aniwekee tafadhali.
Si keshakwenda kwa wabana pua wapale mjengoni wazee wa fursa, wapiiii Kimbunga.
block 41 karibia wote wamekomaaMkono umekomaaa akikukoa huyo lazimaa ubonyeeee
Nakumbuka miaka ya 2004/ 2010 ulikua unafanya Hiphop Music ngumu, naweza sema by that time we ndo ulikua unaongoza kwa kufanya hiphop ngumu. Nyimbo kama mstari wa mbele, umoja ni nguvu, amani, Hip hop bila madawa, hasira na nyingine nyingi. Kwa kweli you used to keep it real nilikua nakukubali sana.
Juzi juzi apa nimesikia wimbo wako mpya unaoitwa Hip hop is alive, kwa kweli Kalapina umepotea . Kubadilisha ladha ni vizuri lakini kama ladha unayoleta ni mbaya kuliko ya kwanza huna haja ya kuileta, jina la wimbo halisadifu mistari na namna ulivyochana. Umesema hiphop is alive lakini composition nzima ya wimbo yaani mistari, beat, ghani, ni bora ungeuita Hip hop is dead. Kalapina rudia enzi zako bado tunakumbuka harakati zako nabii koko,hizo waachie akina God Zilla, Country Boy, na wengine.
Come back Kalapina.
hip hop is dead....mazafanta.. kazi ya wafu fm, wew nabii koko jinamiz gan limekukumba? :embarassed2::embarrassed1:Nakumbuka miaka ya 2004/ 2010 ulikua unafanya Hiphop Music ngumu, naweza sema by that time we ndo ulikua unaongoza kwa kufanya hiphop ngumu. Nyimbo kama mstari wa mbele, umoja ni nguvu, amani, Hip hop bila madawa, hasira na nyingine nyingi. Kwa kweli you used to keep it real nilikua nakukubali sana.