Golden Age
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 203
- 45
A SONG FOR ASSATA SHAKUR-COMMON
Kama utakua umesikiliza album ya Common "Like water for chocolate" basi utakutana ngoma moja inaitwa "a song for Assata Shakur" ambayo Common alikua akimzungumzia mwana mama mmoja anaeitwa Assata Shakur, ambaye alikua ni mwanachama wa Black Panthers na mmoja ya wanaharakati wa kupigania haki za mtu mweusi Marekani,pia Assata Shakur alikua ni aunt yake na mkali 2 Pac Shakur.
So Assata ana historia ndefu sana lakini kwa kifupi ni Kwamba kipindi yupo katika harakati zake yeye pamoja na Black Panthers kiujumla alituhumiwa na polisi wa Marekani Kwamba anahusika kuwaua maafisa wa polisi huko New Jersey,kuvamia na kupora pesa katika benki mbili tofauti, kuteka pamoja na kujeruhi polisi kwa risasi pamoja na uhalifu wa kutumia silaha. Kufuatia tuhuma hizo Assata Shakur akakamatwa na kushtakiwa kifungo cha maisha jela, baada ya kukaa miaka kadhaa jela akafanikiwa kutoroka jela chini ya msada wa wanachama wenzake kutoka Black Panthers.
Baada ya kutoroka jela akakimbilia nchini Cuba ambapo alipokelewa na kupewa Hifadhi pamoja na ulinzi wa uhakika chini ya mtu mzima Fidel Castro, so hapo Marekani wakawa hawana ujanja na ukizingatia kipindi hicho kulikua na uadui mkubwa kati ya Cuba na Marekani.
Mwaka 1998 Assata Shakur kwa mara ya kwanza alitoa ujumbe mrefu na mzito kwa Papa John Paul II ambapo alinukuliwa akisema "the FBI with the help of local police agencies systematically set false accusations, accusing me and other activists of crimes we didn't commit" Pia Aliendelea Akisema "I still advocate revolution and self determination for all oppressed people in USA" So tunaona Assata Shakur anadai Kwamba yeye hauhusiki na tuhuma zote za serikali ya Marekani juu yake na akidai Kwamba ni tuhuma za uongo. Mwaka 2013 FBI walitoa taarifa Kwamba watatoa $2000000 kwa atakae fanikisha kutoa taarifa za kumkamata Assata Shakur.
Pia FBI wamemwingiza Assata Shakur katika orodha ya magaidi wanaotafutwa kwa udi na uvumba Duniani,taarifa zao zinasema "Assata Shakur is one of the FBI's most wanted terrorist ". Hivi karibuni baada ya serikali ya Cuba na Marekani kupatana, Marekani waliomba Cuba imrudishe Assata Shakur Marekani lakini mzee mzima Fidel Castro alikataa katu katu kumrudisha Assata Shakur Marekani na akadai Kwamba Cuba ni mahali salama kabisa kwa Assata.
Common alipotoa huo wimbo haukuleta Utata kipindi kile, lakini umekuja kuleta Utata mwaka juzi na mwaka jana. Common alichana akielezea historia ya Assata Shakur pamoja na kuiitarifu jamii Kwamba tuhuma za serikali juu ya Assata si za kweli...ambapo alisikika akichana" Assata had been convicted of murder she couldn't done/Medical evidence shown she couldn't have shot the gun... /So kwa sababu Common ni emcee ambae amekua akispiti knowledge kuikomboa mitaa kupitia utamaduni wa Hip Hop, wahitimu katika chuo kikuu kimoja Marekani waliomba Common aje atoe speech katika mahafali yao.
Lakini Polisi na vyombo vya habari vikatoa malalamiko Kwamba Common ni mtu anaechochea mauaji ya polisi weupe hivyo asipewe hiyo Nafasi,kwa hiyo ikabidi hiyo nafasi apewe mtu mwingine.Lakini ukiisikiliza hiyo ngoma waliodai ni ya kichochez hakuna mstari wowote unaochochea mauaji waliodai. Pia juzi tu Common alialikwa white house na Rais Barack Obama, vyombo vya habari vikaanza kelele tena ambapo katika kurasa za mbele za magazeti habari ziliandikwa kama ifutavyo,nanukuu "Obama to honour a controversial rapper known for cop killing and misogynistic lyrics".
Pia waliandika "Cop killer praising Rapper, "Common", still coming to white house".Kwa hiyo kelele zikawa nying sana na wakaanza kukumbushia mistari ya Common ambayo alichana na kuikosoa serikali ya George Bush lakini mwisho wa Siku Obama hakubadilisha uamuzi wake. Common pia alisikika akisema "Men i was super shocked, i took it as some gossip shit , then I heard Fox news saying Common is a vile rapper, it was like men, it was really surprising but Obama said he is still coming to the white house cause we know who he is"
Pia Assata Shakur anatambua na kuheshimu mchango wa Hip Hop katika kuikomboa jamii ambapo alinukuliwa akisema "Hip Hop can be a very powerful weapon in helping to expand young people's political and social consciousness" ..Kwa hiyo kufuatia hiyo misukosuko huu wimbo ukawa umefungiwa..kama unauhitaji unaweza ukanicheck inbox... Kwa hiyo Assata Shakur alikua......itaendelea.......
Mwendelezo utapatikana katika kitabu cha HipHop na Maisha ambacho kitatoka hivi karibuni na kitauzwa kwa shilingi za kitanzania elfu tano tu... Unaweza ukaweka oda kupitia namba 0713560346/0743959819
Asanteni sana naomba Kuwasilisha....