Kwako Binti Mrembo Inakuhusu

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,512
Samahani wadau kama ipo humu basi mod waiunge,ujumbe nimeupata Facebook nimeona wadada pia wa JF waupate.

Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui, kama bichwa lako ni kanyaboya, uzuri wako hausaidii kitu, na utashangaa no one is paying attention, watu utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana future utabaki (unatumika) unaliwa bure kila siku unatoa macho.

Ukipata mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu danadana, madai yako hujali naunadhani hata akiondoka utapata mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha! Mwanaume akijitoa mhanga kukupenda kwa uzuri wako mheshimu, maana viumbe wa kike wakiwa wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka, sasa ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako, maana hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.

Watch out, drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu unajiona we kifaa, usidhani wanaume hawaumii, tunaumia sema hatusemi tu, machozi yetu kama ya samaki, tunalia ndani kwa ndani.

HII NI KWA WADADA WOTE WANAOJIONA WAO NI WAREMBO NA WAZURI KWA DHARAU NA DRAMA ZAO
 
Mtashaa wahusika,me natoaga majibu ya kwel simsumbui wala kumzungusha mtu cz name cpend mausumbufu,mabint warembo toen majbu yakueleweka kma ni ndio au hapana,sio unaanza ooh umenionaje,mara unahela wew..kumbe stak nataka,tabia c nzuri hyo.
 
Actions speak louder than words kwa hyo ni uvivu wa wanaume kumsoma mdada mrembo,kuna njia nyingi za kusema hapana na pia akili za kuelewa so the longer you take to read my actions the more suffering you get while im off looking for my swthat,kwa hyo tafuteni jinsi ya kuelewa haraka,
 
Kongosho NIMEITIKIA WITO!!!

Hahahaaaaaaa! HAYO MANENO YA MKOSAJI!!!! Kanyimwa KIDUDE analeta SIZITAKI HIZI MBICHI!!! LOLEST! Ulifata nini to begin with?

Ujana maji moto, wacha tuenjoy, fainali uzeeni @ Ally Choki! Heri kuolewa na kioo kuliko ZOMBIIIII! Hahahaaaaa!

Mungu akikupa UREMBO ukashindwa kupata Furaha, Then u have no one to blame!!!@ massive choices.

Msimamo ni uleule MWENYE KISU KIKALI NDIE ANAEKULA NYAMA. Alijiweka pembeni wengine wakinoa visu, basi na ASHUHUDIE NYAMA IKILIWA! LOL!

I will never SETTLE FOR LESS THAN WHAT I DESRVE/WANT!!!!

Wimbo wa WOMAN ON FIRE by Alicia Keys uwaburudishe jioni ya leo!!!!
 
Halafu kuringa muhimu kwani katika dunia hii kuna wa kufanana na mimi,wala copy hamna sasa je?
 
lara 1, ha ha ha

wanamme watakuchukia ujue? Makavu laivu
 
Last edited by a moderator:
Kongosho NIMEITIKIA WITO!!!

Hahahaaaaaaa! HAYO MANENO YA MKOSAJI!!!! Kanyimwa KIDUDE analeta SIZITAKI HIZI MBICHI!!! LOLEST! Ulifata nini to begin with?

Ujana maji moto, wacha tuenjoy, fainali uzeeni @ Ally Choki! Heri kuolewa na kioo kuliko ZOMBIIIII! Hahahaaaaa!

Mungu akikupa UREMBO ukashindwa kupata Furaha, Then u have no one to blame!!!@ massive choices.

Msimamo ni uleule MWENYE KISU KIKALI NDIE ANAEKULA NYAMA. Alijiweka pembeni wengine wakinoa visu, basi na ASHUHUDIE NYAMA IKILIWA! LOL!

I will never SETTLE FOR LESS THAN WHAT I DESRVE/WANT!!!!

Wimbo wa WOMAN ON FIRE by Alicia Keys uwaburudishe jioni ya leo!!!!

ahsante ndugu yangu,kizuri chajiuza kibaya cha jitembeza,sasa bei naijua mwenyewe kwa hyo shurti utoe dau la kweli kama huwezi katafute cha bei yako,soko huria jamani,
 
kongosho nimeitikia wito!!!

Hahahaaaaaaa! Hayo maneno ya mkosaji!!!! Kanyimwa kidude analeta sizitaki hizi mbichi!!! Lolest! Ulifata nini to begin with?

Ujana maji moto, wacha tuenjoy, fainali uzeeni @ ally choki! Heri kuolewa na kioo kuliko zombiiiii! Hahahaaaaa!

Mungu akikupa urembo ukashindwa kupata furaha, then u have no one to blame!!!@ massive choices.

Msimamo ni uleule mwenye kisu kikali ndie anaekula nyama. Alijiweka pembeni wengine wakinoa visu, basi na ashuhudie nyama ikiliwa! Lol!

I will never settle for less than what i desrve/want!!!!

Wimbo wa woman on fire by alicia keys uwaburudishe jioni ya leo!!!!

kweli we balaa!!!!haki ya mungu najuta kukufahamu!!!!
 
Nilijua tu hhahaha
Weeee mwanamke wewee una vituko ila umegonga ikulu.

Kongosho NIMEITIKIA WITO!!!

Hahahaaaaaaa! HAYO MANENO YA MKOSAJI!!!! Kanyimwa KIDUDE analeta SIZITAKI HIZI MBICHI!!! LOLEST! Ulifata nini to begin with?

Ujana maji moto, wacha tuenjoy, fainali uzeeni @ Ally Choki! Heri kuolewa na kioo kuliko ZOMBIIIII! Hahahaaaaa!

Mungu akikupa UREMBO ukashindwa kupata Furaha, Then u have no one to blame!!!@ massive choices.

Msimamo ni uleule MWENYE KISU KIKALI NDIE ANAEKULA NYAMA. Alijiweka pembeni wengine wakinoa visu, basi na ASHUHUDIE NYAMA IKILIWA! LOL!

I will never SETTLE FOR LESS THAN WHAT I DESRVE/WANT!!!!

Wimbo wa WOMAN ON FIRE by Alicia Keys uwaburudishe jioni ya leo!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom