Swizzy
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 773
- 511
Habari wana JF!!
Nimeamua kuandika hii thread ili imfikie moja kwa moja Mkurugenzi wa bodi ya mikopo Mh. Abdul Razaq Badru.
Mpaka saizi navyo andika hii thread kuna vilio vingi sana vya wanafunzi wa diploma holder walio maliza mwaka huu (2016) kwa sababu hakuna mwanafunzi yeyote (mhitimu wa diploma holder 2016) aliyepata mkopo mpaka saizi, diploma wengi waliopata mikopo ni walio maliza mwaka jana (2015) kushuka chini. Sasa hawa waliomaliza mwaka huu (2016) hawajui hatma yao na hakuna tangazo lolote lililotolewa mpaka saizi kuhusiana na hawa wanafunzi na ukizingatia wengine course walizo chaguliwa na TCU kujiunga huko vyuoni ni PRIORITY.
Ndugu Mh. ABDUL RAZAQ BADRU (mkurugenzi mkuu wa bodi ya mikopo) tunaomba utoe kauli juu ya hawa diploma holder waliomaliza mwaka huu kama wao mmeamua kuwaweka pending au lah!...maana masomo karibia vyuo vyote yameishaanza.
Source (1): Muulize diploma holder aliye maliza mwaka huu (2016) yeyote uliye karibu naye na mwenye vigezo vya kupata mkopo
Source (2): Diploma holder walio maliza mwaka huu (2016) na wamechaguliwa vyuo mbalimbali ...mfano DIT, MUST, ATC, UDSM, NIT n.k