Kwaito Kwenda Mbele . . .

hivi wakicheza kwaito lazima watanue miguu au macho yangu yanaona vibaya...

Hapa wateule wa mkweree wanapiga kwaito; Mkuu wa mkoa wa Dodoma na maDC wake!! Mambo ndio hayo wadanganyika.
 
Hivi south africa wanacheza kama tunavyocheza hapa mjini? Au hii ni version?
 
Kweli tumekuwa na taifa la wanenguaji,siku hizi kama hujui kucheza kwaito unaonekana mshamba,mimii nilijifungia na mama watoto tukajifunza sasa nimekuwa fundi wa kwaito..
 
Mkuu Allen naomba kuuliza hii style ya KWAITO asili yake ni wapi???? Naona wabongo wanaimudu kweli kweli! Ooops! asante kwa photos ni burudani tosha.
 
kweli kwaito imetushikia akili wabongo, hata ofisini ni kuserebuka tu, duh, kaaaaaaaaz kweli kwel
 
Allien naomba CV yako faster kuna kijarida nataka kuanzisha
asante kwa picha
Siku hizo El Toro sijui kenda wapi
 
Last edited by a moderator:
Nimekukubali mkuu hiyo ni kwaito halisi,bila kwaito pale getini bi harusi hugoma kuingia ndani ,mpaka apigiwe kwaito ya kuingilia ,harusi yangu niliingia ukumbini kwa mdumange wa mzee Shauri kutoka pale muheza lakini siku hizi ni Kwaito,kwatu kwatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…