Kwahili Muhongo nakupa tano

Kwahili Muhongo nakupa tano

chopp

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
220
Reaction score
41
musoma vijijini umeme mda wowote utaanza kuwaka kila kitu nadhani kipo tayar kwa hili nakupa 5. wananchi wa hapa wanafalijika kwa hili.

huo ndiyo utendaji na ndiyo kuwatumikia wananchi wako.sijali kuhusu kashfa nadhani naangalia kipi muhimu nakikubwa kwa sisi wananchi wa huku

nawasilisha
 
Hata ikiwa hivyo inabidi ang'oke tuuu...
 
Sospeter Muhongo ni kiongozi aliyeonesha ufanisi mkubwa kiutendaji ndani ya muda mfupi sana, big sana.
 
Mtamsafisha sana lakini hamtoweza maana hata CCM wameshatoa maazimio ya kumtosa bila kumuangalia usoni! JK anashindwa afanyeje kwakuwa Jamaa aliletwa na USA kuhujumu TANESCO na kuhakikisha GAS haiwanufaishi Watanzania... Huyu Jambazi hatufai ... Fedha za ESCROW alizowagawia ili mumsafishe ni bora mka-save maana zitakwisha kwa kununua Bundles ...
 
Mtuambie basi amepewa kiasi gani mbona hamsemi? Waliopewa heLA wanafahamika mpaka na kiasi walichokula. Acheni wivu wa kike...
 
Hakuna wazir alieitendea wizara ya nishat na madin kama huyo Sos Muhongo,,,,, haters mkapuuuu matukiti
 
musoma vijijini umeme mda wowote utaanza kuwaka kila kitu nadhani kipo tayar kwa hili nakupa 5. wananchi wa hapa wanafalijika kwa hili.

huo ndiyo utendaji na ndiyo kuwatumikia wananchi wako.sijali kuhusu kashfa nadhani naangalia kipi muhimu nakikubwa kwa sisi wananchi wa huku

nawasilisha

Mpe kabisa ta....! Mwizi ni mwizi tu
 
Mtuambie basi amepewa kiasi gani mbona hamsemi? Waliopewa heLA wanafahamika mpaka na kiasi walichokula. Acheni wivu wa kike...

hata hela ya ugoro mliyopewa kumtetea humu ndani mnafikiri ni mshahara wake? Ndizo hela za dhuluma nyie wajinga!
 
Hakuna wazir alieitendea wizara ya nishat na madin kama huyo Sos Muhongo,,,,, haters mkapuuuu matukiti

Wewe ni chizi fresh, muanzilishi wa mpango wa umeme vijijini ni Ngeleja, hela zote tunakatwa kwenye mafuta na luku na wanaosimamia mradi ni Tanesco. Sifa mnazompa huyo Muhongo na hata mkate viuno namna gani haitasaidia maana lazima atoswe, then mtaona kama umeme vijiji hautawashwa
 
Mhongo hardworking man forever ever ...40% watanzania wana umeme within 4yrs, very fantastic.
 
musoma vijijini umeme mda wowote utaanza kuwaka kila kitu nadhani kipo tayar kwa hili nakupa 5. wananchi wa hapa wanafalijika kwa hili.

huo ndiyo utendaji na ndiyo kuwatumikia wananchi wako.sijali kuhusu kashfa nadhani naangalia kipi muhimu nakikubwa kwa sisi wananchi wa huku

nawasilisha
..muhongo jiadhari na waswahili....wabaya.
 
Hakuna wazir alieitendea wizara ya nishat na madin kama huyo Sos Muhongo,,,,, haters mkapuuuu matukiti

sifa kuu ya ufuas wa mtu ni kua na mental blindness,watanzania wamegeuzwa kama maroboti just bkoz of temporary gifts,prof muhongo hana jipya zaid ya majigambo na misifa isiyo na outcomes!"kwanza huu mrad ulikwepo kabla hajawa wazr,pili huwez kusifiwa kwa kusolve tatizo huku umecreate lingne tena centre,anachokifanya ni kupunguza huduma kwa wenye umm na kwenda kuwapa wasio nao shortly walionao wanapata kwa mgao!!mwisho ameongeza hasara kwa shirika kutoka 40bl mpk 450bl kwa mwez!hapa kuna akili yyte imetumika mpk aitwe jembe kwa lipi?ni ufuas tu wakijuha kumshabikia huyu prof!!hv ninavyoandlka tayar umem umekatika mgao!!!
 
Mhongo hardworking man forever ever ...40% watanzania wana umeme within 4yrs, very fantastic.

Hii hesabu Mimi huwa siikubali kabisa, maana huku vijijini unapitia kitongoji kimoja kimoja tu kati ya vitongoji kati ya 8-10! Sasa hiyo 40% mnaopata wapi? Jaribuni kuangalia mtaona jinsi umeme ulivyoshushwa kwenye senta za vijiji tu!! Bado tuna safari ndefu sana!!
 
kama mngejua toka aingie kwenye wizara ya nishati, kaongeza madeni huko tanesco kiasi gani msingekaa kuleta uzi wa kishoga kama huu
 
Wewe ni chizi fresh, muanzilishi wa mpango wa umeme vijijini ni Ngeleja, hela zote tunakatwa kwenye mafuta na luku na wanaosimamia mradi ni Tanesco. Sifa mnazompa huyo Muhongo na hata mkate viuno namna gani haitasaidia maana lazima atoswe, then mtaona kama umeme vijiji hautawashwa

Mimi nakushangaa sana wewe na wenzio mnaolazimika muhongo ang'oke hebu tueleze ang'oke kwa maslahi Ya nani sisi kama wananchi Wa kawaida tunahitaji huduma huduma ambayo haijawahi kupatikana toka uhuru leo hii tunaipata kirahisi tu sasa kwanini huyu mtu atoke? Kwa jicho la mwananchi Wa kawaida muhongo ni shujaa na tunamuhitaji hizo Pesa za escrow hata kama kunasehemu Ya pesa za umma hatujaona sehemu kwenye report zote muhongo alipoingiziwa pesa. Hebu tusaidie Wewe muhogo na maswi walipewa shilingi ngapi kila mmoja?
 
Back
Top Bottom