Kwahiili Rais Magufuli ninakupongeza

Kwahiili Rais Magufuli ninakupongeza

ni mimi tu na wengine watatu ndo tumeelewa huu uzi ok vice versa is true.....always
 
Kutuambia tuachane na uzazi wa mpango na tufyatuane tu. Ulichukua jukumu la kuchonga madawati ukatuambia sasa kazi yako umemaliza umetuachia tutekeleze jukumu letu.

Wewe mwenyewe umefanya demonstration kwa wale ambao hawakuelewa maana ya kufyatuana.

Sasa hivi baba dunia nzima inafahamu kuwa Tanzania is growing fast demographically.

Kwa hili baba umefanikiwa 100% na tunatembea vifua mbele kutekeleza tamko.

Wale wanafunzi wanaopata mimba za utotoni baba usiwaadhibu, ni katika kukatika kwa mawasiliano kati ya kutii tamko na kuwa raia wema kuna mahali maagizo hayakufika kama ulivyokusudia lakini walitekeleza tamko.
Swadakta mkuu
 
Rais alisema anatoa billioni 600 kila mwezi kwa akili ya elimu bure.
Mchanganuo wa gharama za kuendesha shule ulifanywa lini? Ngoja nikwambie tu ukweli kuwa kuna shule kwa mwaka zinapata hela chini ya 2millions of money. Na katika hizo hela kila mwezi zinaingia chini ya 150000 hapo mchanganuo wake sio wa kitoto, rim paper, ukarabati, mlinzi, maandalio, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani chakula kunazalishwa na serikali?
Mi nalipinga, kusema "watu wa fyatuane" kwasababu elimu ni bure. Wakati sekta ya AFYA na sekta ya CHAKULA bado ni kitendawili kisichokua na majibu nchini, ni sawa na kuchochea kuni za GONJWA LA UKIMWI na ongezeko la WATOTO WASIOKUA NA WAZAZI (Ukimwi na Umasikini utakua kwa kasi ya SGR au 4G).

Wakulima bado wana weweseka na kilimo, wafugaji nao ni janga. Ajira kwa vijana ni kizaazaa. Tanzania bado sana kwenye mambo muhimu hatujaweza kukabiliana nayo.

TAFAKARI; Yeye anasema tufyatuane kwasababu elimu ni bure, je atakaekuja baada yake akibadilisha sera na kurudisha ADA/FEES mashuleni???? Watoto tuliowafyatua katika UONGOZI wake atakubali kuwapokea tukimpelekea kule CHATO atusaidie kuwalipia ADA????

#Elimu, Afya, Chakula, Ajira na Vita dhidi ya ukimwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa sana kusema bilioni 600. Ndio walivyo hao kutaja baseless allegations na inflammatory statements.
Oohps kumbe billions 600 ni kwa ujenzi wa Chato International Airport!
 
Nimeshangaa sana kusema bilioni 600. Ndio walivyo hao kutaja baseless allegations na inflammatory statements.
Watanzania tunadanganywa na kudanganyika sana. Kwanza hela hizo anatoa ila nani alifanya tathimini na kuona shule zote Tanzania kuziendesha gharama zake ni billion 23? Tanzania bila kufanyia vitu analysis za maana tutaishia kupongeza pasipo stahili kwa uzembe wa kufikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom