Kwaherini

Kwaherini

Wala tusijuane,toka hapo
hatujuani , nasema kwaherini ,naondoka tena,kurudi ni majaliwa ,labda
baada ya miaka mingine kupita.

Wake niliowakosea nawaomba samahani sanasana ,huwezi kujua ! Lengo si
kumkosea mtu ,na pia nawashukulu wale waliotoa elimu yao nao nawapa
hongera wawe na moyo huohuo wasifanye ubahili kwa yale wanayoyajua.
:rapture:

aiiiiiii mwiba tena? kesho kabla jua halijazama lazima uanzishe uzi hapa wa kurudi.ahaaaaa
 
Wala tusijuane,toka hapo hatujuani , nasema kwaherini ,naondoka tena,kurudi ni majaliwa ,labda baada ya miaka mingine kupita.

Wake niliowakosea nawaomba samahani sanasana ,huwezi kujua ! Lengo si kumkosea mtu ,na pia nawashukulu wale waliotoa elimu yao nao nawapa hongera wawe na moyo huohuo wasifanye ubahili kwa yale wanayoyajua. :rapture:
Mbona matusi mengi? Kumbuka, usitukane mamba kabla ya kuvuka mto. Sasa usijekuta huko uendako kumefungwa. Utarudije hapa?
 
kwaheri ID ya Mwiba karibu ID nyingine....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom