Haya bhana good luck and all the best in your life. Thanks for everything. Ni mmoja wa wanachama humu nilikuwa nafurahia kukusoma na kusoma kila kitu na kujifunza mengi niliyokuwa siyajui. Sayonara Rafiki.

Mbona la Arabian queen kujitoa humu liko wazi emmyta!? Labda kama nakosea kumsoma ila si kwa kipindi kirefu kihivyo maana kishakuwa addicted huyu kama nanihii. 😛😛😛