Kwaherini

Wapendwa,.
Wapi tena mama yatayokufanya kushindwa kutupia hata mstari?! Sasa hii ndiyo social network yetu ya kuuliza kijifunza na ku enjoy, hatuwezi kweli kukubadilisha mawazo?
 
Kuna mawili hapo:-
1. Umefulia sana hivyo umeamua kuuza smartphone.
2. Kuna njemba imekuchimba biti kwamba ukiendelea kuingia JF anakupiga chini.
3. Unabadiri Id ili uje na mpya.
Pole lakn.
 
mama, nishajuwa mfungo waja, tutakusubiri dada..
 

Attachments

  • download.jpg
    8 KB · Views: 30
Ni me cheap sbwa dume, post: 21281475, member: 199782"]Kuna mawili hapo:-
1. Umefulia sana hivyo umeamua kuuza smartphone.
2. Kuna njemba imekuchimba biti kwamba ukiendelea kuingia JF anakupiga chini.
3. Unabadiri Id ili uje na mpya.
Pole lakn.[/QUOTE]
Nimecheka sana mkuu, no ni muds majukumu yanabana
 
Naomba njoo PM before ujaondoka nakumbuka nilikuhaidi zawadi yako sky sitajisikia poa ukiondoka sijakupatia pliz dont go ntajisikia vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…