Ni miezi kadhaa t kmka nijiunge JF,
Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,
Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii
😢😢dah! nimeshindwa kuzuia machozi ..Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,
Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,
Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisAmehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.
Sina muda mrefu wakuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende
usikate tamaa kiasi hicho mkuu,Mungu wetu ni wa rehema na si mwepesi wa hasira,hata kama unasema hukumuamini lakini yeye anakufahamu hata kabla ya kuwekwa kwa misingi ya dunia.As long unapumua hata sasa basi zidi kumuita atende muujiza na mi pia nakuombeaMungu sikumuan maisha yangu yote naona hata yeye hanijui kwanini anipe adhabu hii yote
Na alifariki?!Namkumbuka member Fork
Kwani we we mkuu umeambiwa utakufa lini? Maana mwanachama mwenzutu Fork alitupa taarifa miezi 4 kabla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alifariki ndio
Pole sn Kwan ugonjwa huu hautibiki siufahamuNi miezi kadhaa toka nijiunge JF,
Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,
Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisAmehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.
Sina muda mrefu wakuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende
Pole sana jamani Mungu akutie nguvu usijikatie tamaa mpendwa....Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,
Ni miezi kadhaa toka nigundulike kuwa na Hepatitis B,
Hali yangu imedhoofu kuishi sitarajii. Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya. Kwa wale wote niliowakosea hapa JF samahani, mnisAmehe mimi natangulia nitawasubiri kama tutaenda sehemu moja.
Sina muda mrefu wakuishi hapa duniani, wiki nzima hii nateseka acha tu niende
Ni mwezi na siku 22 imepita sasa tokea siku madaktari wanoismbie bakufa nimeng'angana ila mwisho wangu nimeioma sina budi kuondokaNamkumbuka member Fork
Kwani we we mkuu umeambiwa utakufa lini? Maana mwanachama mwenzutu Fork alitupa taarifa miezi 4 kabla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana chief,Mungu asimame pamoja nawe,tupe locatation yako,mawasiliano yako au ya ndugu yako wa karibu ili members wa jf waliopo karibu nawe waje hata kukujulia hali mkuu na kutupa updates just incase....Ni miezi kadhaa toka nijiunge JF,