A anthopody JF-Expert Member Joined Dec 10, 2024 Posts 262 Reaction score 183 May 4, 2025 #1 Shida vita ni ngumu ninazofikiri zinatokana na siasa au shughuli zangu za uchumi By mbunge mpya mtarajiwa
Shida vita ni ngumu ninazofikiri zinatokana na siasa au shughuli zangu za uchumi By mbunge mpya mtarajiwa
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,340 Reaction score 3,028 May 4, 2025 #2 Kalibu kwenye jukwaa la michezo
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,819 Reaction score 40,324 May 4, 2025 #3 Bangi mbaya sana
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,776 May 4, 2025 #4 Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano". Ulifikiri ni lelemama?
H Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 4,068 Reaction score 13,102 May 4, 2025 #5 Uzuri ni kuwa JF ukiwa msomaji unapata madini mengi sana ila ndio hivyo tu kiherehere Cha kutaka kuonekana ndio kinatukwamisha
Uzuri ni kuwa JF ukiwa msomaji unapata madini mengi sana ila ndio hivyo tu kiherehere Cha kutaka kuonekana ndio kinatukwamisha
Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 2,205 Reaction score 3,186 May 4, 2025 #6 Karbu Tanga Tujaribu Mapenzi.
A anthopody JF-Expert Member Joined Dec 10, 2024 Posts 262 Reaction score 183 May 4, 2025 Thread starter #7 FaizaFoxy said: Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano". Ulifikiri ni lelemama? Click to expand... Yeah,na mliobahatika kusoma uzi wangu asanteni sasa na naufuta sasa ili matesi wangu wasije nifahamu kwa dhamira zao asanteni
FaizaFoxy said: Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano". Ulifikiri ni lelemama? Click to expand... Yeah,na mliobahatika kusoma uzi wangu asanteni sasa na naufuta sasa ili matesi wangu wasije nifahamu kwa dhamira zao asanteni
Chick_tz JF-Expert Member Joined Mar 2, 2025 Posts 2,340 Reaction score 3,028 May 4, 2025 #8 Harmful said: Uzuri ni kuwa JF ukiwa msomaji unapata madini mengi sana ila ndio hivyo tu kiherehere Cha kutaka kuonekana ndio kinatukwamisha Click to expand... Hata mim mara ya kwanza sikujiunga lakn kiherehere cha kuchangia hoja nikajiunga
Harmful said: Uzuri ni kuwa JF ukiwa msomaji unapata madini mengi sana ila ndio hivyo tu kiherehere Cha kutaka kuonekana ndio kinatukwamisha Click to expand... Hata mim mara ya kwanza sikujiunga lakn kiherehere cha kuchangia hoja nikajiunga
Mikopo Consultant JF-Expert Member Joined Oct 28, 2024 Posts 2,235 Reaction score 4,382 May 4, 2025 #9 Jukwaa la siasa ndo wamekutumia radi ama???
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,848 Reaction score 37,551 May 4, 2025 #10 anthopody said: Shida vita ni ngumu ninazofikiri zinatokana na siasa au shughuli zangu za uchumi By mbunge mpya mtarajiwa Click to expand... SS vita SI Ina mwenyewe we unafikiri unapigaba tu? Kila unaona anaepigana nyuma yake ana nguvu inayombuck up SS we una ipi? Na nguvu ni 2 tu Nuru na Giza .
anthopody said: Shida vita ni ngumu ninazofikiri zinatokana na siasa au shughuli zangu za uchumi By mbunge mpya mtarajiwa Click to expand... SS vita SI Ina mwenyewe we unafikiri unapigaba tu? Kila unaona anaepigana nyuma yake ana nguvu inayombuck up SS we una ipi? Na nguvu ni 2 tu Nuru na Giza .
NDOTO KAVU JF-Expert Member Joined Feb 15, 2011 Posts 1,513 Reaction score 1,120 May 4, 2025 #11 Wewe umejificha unakimbia nani awasemee familia yako nani awasemee? Kamanda komaa. Upo kambi ya jeshi. Ungekuwa kwenye miezi tisa ya mama ungekimbia wapi. Pamba na vijana wenzako
Wewe umejificha unakimbia nani awasemee familia yako nani awasemee? Kamanda komaa. Upo kambi ya jeshi. Ungekuwa kwenye miezi tisa ya mama ungekimbia wapi. Pamba na vijana wenzako
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,238 Reaction score 1,567 May 5, 2025 #12 FaizaFoxy said: Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano". Ulifikiri ni lelemama? Click to expand... Faiza upo?😎
FaizaFoxy said: Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano". Ulifikiri ni lelemama? Click to expand... Faiza upo?😎
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 19,519 Reaction score 26,145 May 5, 2025 #13 anthopody said: Shida vita ni ngumu ninazofikiri zinatokana na siasa au shughuli zangu za uchumi By mbunge mpya mtarajiwa Click to expand... Nawe unataka kuwa mbunge, halafu mstari mmoja tu unaandika hivi?
anthopody said: Shida vita ni ngumu ninazofikiri zinatokana na siasa au shughuli zangu za uchumi By mbunge mpya mtarajiwa Click to expand... Nawe unataka kuwa mbunge, halafu mstari mmoja tu unaandika hivi?
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 19,519 Reaction score 26,145 May 5, 2025 #14 FaizaFoxy said: Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano". Ulifikiri ni lelemama? Click to expand... Umekimbilia haraka ukidhani ni "Anthropology"; kumbe yeye anaitwa "Anthopody"! Sasa unakubali "mapambano si lelemama". Subiri, hujaona mapambano yenyewe yakoje.
FaizaFoxy said: Kamanda "umebwaga manyanga" umekimbia medani ya "mapambano". Ulifikiri ni lelemama? Click to expand... Umekimbilia haraka ukidhani ni "Anthropology"; kumbe yeye anaitwa "Anthopody"! Sasa unakubali "mapambano si lelemama". Subiri, hujaona mapambano yenyewe yakoje.