Kwaherini Kwaherini Kwaherini.....

Aisee hiyo song acha...FeRouZ....aliimba daaah...nakumbuka nilikuwa nikisikia hiyo nyimbo naanza kujuta kwa nn nilimgegeda dem X bila zana..ilikuwa nyimbo yenye ujumbe mwanana kwa kweli
 
Mie nakupenda tu, usihofu. Acha wasseme bangi sijui makanikia, mapanki, ukimaliza rudi nyumbani salama nakusubiria.

Hahahahahahaa looh asante kwa kunipenda hivi nilivyo. Narejea nyumbani baba.

Kasie.
 
Bonge moja la REMIX kasie.

Umetisha sana mkuu ila jitahidi kuwataja wote usikomee nusu yao tu.

Hata wewe pia upoo usijali sijakusahau ni vile tuu muda haukutosha.
 
Kuimba unaweza ila sauti yako mbaya inakoroma utafikiri radio ambayo masafa yake hayasikiki vizuri

Kawaida watu wenye roho nzuri, sauti huwa mbaya... na wale wenye sura au muonekano mbaya sauti huwa nzuri...

Haya tuma salamu kwa watu wawili.
 
Bado upo Bangkok na umelambishwa hayo maunga vipi? We Kasie rudi nyumbani huku balaa kama huna nauli ni pm.


Huko nilishaondoka saa hizi niko Comoros..... karibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…