WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,461
- 1,545
Nimesikia tangazo kutoka kwa viongozi wa CHADEMA taifa hadi wilaya kua kutakua na maandamano na migomo isiyo na kikomo na kuwaomba wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuwaunga mkono viongozi hao katika maandamano ya nchi nzima.Lakini nasikitika haya maandamo ni ya kupinga bunge la katiba mpya ambayo ilikuwa ajenda ya UKAWA je,km ni hivyo mbona CHADEMA ndo wanashadidia kuliko vyama washirika? Kwa CHADEMA imewasaliti tayari washirika wao? JAMANI NAULIZA TU WAKUU ILI MNIJUZE.