Hata mi nauliza tu, nasikia watanzania wote ni masikini!Nauliza tu mkuu,nilisikia pia jana baadhi ya watu waliumizwa na polisi pale walipoandamana kumsindikiza mbowe,vp Mbowe naye aliumizwa? Pia nasikia alisepa South Africa....na je alienda na hao majeruhi?
Nimesikia tangazo kutoka kwa viongozi wa CHADEMA taifa hadi wilaya kua kutakua na maandamano na migomo isiyo na kikomo na kuwaomba wafuasi na wapenzi wa CHADEMA kuwaunga mkono viongozi hao katika maandamano ya nchi nzima.Lakini nasikitika haya maandamo ni ya kupinga bunge la katiba mpya ambayo ilikuwa ajenda ya UKAWA je,km ni hivyo mbona CHADEMA ndo wanashadidia kuliko vyama washirika? Kwa CHADEMA imewasaliti tayari washirika wao? JAMANI NAULIZA TU WAKUU ILI MNIJUZE.
Ukaawa ndio imeshakufa. Halaf mbatia wanamtenga sana.
Nauliza tu mkuu,nilisikia pia jana baadhi ya watu waliumizwa na polisi pale walipoandamana kumsindikiza mbowe,vp Mbowe naye aliumizwa? Pia nasikia alisepa South Africa....na je alienda na hao majeruhi?
Tulijua toka mwanzo kuwa itafikia hatua UKAWA watajenga mnara wa Babeli
haa haa mbona mlisema cdm ilishakufa?Ukaawa ndio imeshakufa. Halaf mbatia wanamtenga sana.
mnajiuliza na kujijibu wenyewe teh teh teh
Mkuu, hivi chadema hakina wazee wa kuwashauri viongozi wao? Maana naona chama kinaenda hovyo hovyo tu kama jahazi lililopigwa na dhoruba kali
Ukawa lazima iheshimiwe ,vipi chadema mnawasiliana na wenzenu?
Hii janja janja na kiherehere hata siungi mkono.
Slaa alitoa tamko ukawa watakaa na watatoa ratiba ya maandamano, sasa hiki kinachotokea ni nini?
Hata mi nauliza tu, nasikia watanzania wote ni masikini!
Maswali yako ni yakihuni huni tu. Najiuliza ulivolelewa