BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi.
Baadhi ya kero za TIGO Mobile:
1. Unalipia kifurushi (data au muda wa maongezi) pesa wanachukua lakini kifurushi inachukua muda zaidi ya masaa 24 bila kupata, ukiwapigia customer care unaambiwa 'endelea kusubiri'.
2. Hawatoi ushirikiano kwa wateja wao wanaoibiwa pesa zao wanapoomba msaada.
3. Kuwatumia meseji za promotion mbalimbali wateja wao wasiopenda matangazo yao. Mteja anapowalalamikia anajibiwa 'tuma meseji ya kujiondoa'. Huu ni ujinga, unamwambiaje mtu ajiondoe kwenye huduma ambayo hakujiunga bali mlimuunganisha wenyewe pasipo consent yake?
4. Network hafifu, nk.
Mimi nasema basi, TIGO kwaheri!