kwaheri Regia Mtema

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, marehemu Regia Mtema, .

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda, katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam

Askari wa Bunge wakishusha Jeneza katikagari kuelekea mahala palipoandaliwa rasmi kwa ajili ya shughuli za kuaga.

Askari wa Bunge wakibeba Jeneza kuelekea mahala palipoandaliwa rasmi kwa ajili ya shughuli za kuaga.

Askari wa Bunge wakibeba Jeneza kuelekea mahala palipoandaliwa rasmi kwa ajili ya shughuli za kuaga.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, Willbload Slaa, akitoa salama za rambirambi.

Mwenyekiti wa CHADEMA, FreemanMbowe, akitoa salama za rambirambi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akitoa salama za rambirambi kwa niaba ya Serikali.

Spika wa Bunge, Anne Makinda, akitoa wasifu wa mare hemu katika shughuli zake za kibunge na salam za rambirambi kwa niaba ya Bunge.

Katibu Mkuu wa Chadema Dkt. Slaa na mkewe josephine wakiwa bize wakichati na simu 'sare sare' wakati wakiwa katika shuguli hiyo ya kuaga mwili wamarehemu.bila shaka walikua wana update jamiiforums.
Wengine pia walikuwa bize katika kunasa matukio ya shughuli hiyo, kama anavyoonekan mdada huyu, ambaye kivazi chake tu kilikuwa gumzo .

Baadhi ya watu waliohudhuria shughuli hiyo.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakhia Bilal, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, wakiwa katika shughulia ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, marehemu Regia Mtema, aliyeagwa leo katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Regia anatarajia kuzikwa kesho nyumbani kwao Ifakara.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kuagana na Tundu Lissu, Vita Kawawa, pamoja na baadhi ya wananchi waliohudhuria shughuli hiyo.mia

 
Rest in peace Regia,u wil remain in our hearts,u had enough love for all of us:tanzanians and the world in general,
 
Back
Top Bottom