Kwaheri mwana cotide

Kwaheri mwana cotide

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
5,182
Reaction score
7,326
Ni manjonzi kwetu sisi wapenda haki ulijitahi kwa uwezo wako wote kadiri Mungu alivyokujalia tulipenda Sana kuendelea kua na wewe kwenye mapambano kamanda wangu umetutoka katikati ya kilima kilefu Ninaimani Mungu anamakusudi yake Nipende kusema Umevipigana vyema vita Mwendo Umeumaliza Tangulia kamanda wangu nasi Tupo nyuma yako Msalimie Mzee Kingunge Pia Ukimuona JK Kambalage Mpe Hi Msalimie Mawazo mwambie Tupo kalibu na kilele Wasalimie mwl kasuku bilago mpe salam chacha wangwe sijamsahau kamanda Mtoi Mwambie apumzike kwa amani bila kuwasahau Makamanda wote waliokufa katka Mapigano Machozi yananidondoka nikikumbuka Juhudi zako Kupitia sanaa Nenda KAMANDA Mwana cotide Nenda kamanda wangu Vita umevipigana vyema Mwendo Umeumaliza Pumzika Kwa Amani Mwana cotide.
 
  • Thanks
Reactions: ADK

Akikutana na Samwel Sita,Mtikila,Kombani ,Kigoda nk awaambie Lowassa sasa ni mwana ccm tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom