Kwaheri mchepuko Wangu

We wa ajabu kweli, lengo la mchepuko ni kupata faraja sasa kama unapata karaha...
Wang'ang'ania nini au unajiona kwa kuwa na mmachame basi nawe utakua unavutia watalii kisa huyo demu anaharufu ya mlima Kilimanjaro
 
We wa ajabu kweli, lengo la mchepuko ni kupata faraja sasa kama unapata karaha...
Wang'ang'ania nini au unajiona kwa kuwa na mmachame basi nawe utakua unavutia watalii kisa huyo demu anaharufu ya mlima Kilimanjaro
Duuuu! Kubwa lao nime kuelewa mkuu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
..ukimwi, jeneza, sanda, shimo la kaburi vinakuhusu. Kikubwa hakikisha unaandika mirathi kabisa.
 
Tulia ule na wenzako maana hata nawewe una wako
Huoni aibu kwa haya unayoandika? hebu tulia na familia yako, utajisikiaje mkeo naye akiomba ushauri facebook naye kuna kijana anampenda sema anambana sana karibia utashtuka?
 
Naomba kuuliza eti kaka ilikuaje ukajikuta humpendi mkeo? Umekaa nae kwa muda gani? Au hukuwahi kumpenda mkeo?
 

siamini kama bado kuna watu wanahangaika tena na waume za watu ........sijawahi kuwaza kudate na mume wa mtu hata kwanza sina mzuka nao
 
Achana na michepuko angalia familia yako na huo mchepuko ujue kabisa huumiliki peke yako
 
hivi utajiskiaje dada yako akiwa anatembea na mume wa mtu ,au binti yako au mama yako

nitamtangaza kijiji kizima ...ikishindikana naenda kwa padri kwa siri namsemea padri amuite amkanye ...sitamvumilia hata kidogo hakika undugu hapo lazima uvunjike tuuu
 
natafuta ile therd ya wakristu turuhusiwe kuoa mke wa pili
 
Ushasema unataka kumuacha sasa unataka ushauri wa nn na ni mchepuko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…