Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,210 Reaction score 18,277 Feb 21, 2025 #81 makutupora said: Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uhai! Hakuna maiti inayoweza kupanga Malengo na kutafuta mikakati ya kutimiza Malengo. Alale pema Click to expand... Alale pema..... Nakubali kwa ujumbe mkuu
makutupora said: Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uhai! Hakuna maiti inayoweza kupanga Malengo na kutafuta mikakati ya kutimiza Malengo. Alale pema Click to expand... Alale pema..... Nakubali kwa ujumbe mkuu
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,065 Reaction score 3,333 Feb 21, 2025 #82 Na utachoka sana mwaka huu. Ndo kwanza Februari. Disemba utafika kweli?
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,696 Reaction score 6,231 Feb 21, 2025 #83 Sinwar nasrallah said: Pole dada Click to expand... Anauliza swali
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,849 Reaction score 831,118 Feb 21, 2025 #84 xivii09 said: Watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa JamiiForums ahaa naondoka nimechoka. Click to expand... Basi nikajua ni WhatsApp
xivii09 said: Watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa JamiiForums ahaa naondoka nimechoka. Click to expand... Basi nikajua ni WhatsApp
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,368 Reaction score 8,407 Feb 21, 2025 #85 Mallerina said: Anauliza swali Click to expand... Dada Mallerina mamboπ€
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,696 Reaction score 6,231 Feb 21, 2025 #86 Sinwar nasrallah said: Dada Mallerina mamboπ€ Click to expand... Poa hujambo?
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,368 Reaction score 8,407 Feb 21, 2025 #87 Mallerina said: Poa hujambo? Click to expand... Sijambo dada naomba ππ
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,696 Reaction score 6,231 Feb 21, 2025 #88 Sinwar nasrallah said: Sijambo dada naomba ππ Click to expand... Unaomba nini
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,368 Reaction score 8,407 Feb 21, 2025 #89 Mallerina said: Unaomba nini Click to expand... π€π€Tamu
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,696 Reaction score 6,231 Feb 21, 2025 #90 Sinwar nasrallah said: π€π€Tamu Click to expand... Bila hela hakuna utamu
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,273 Reaction score 89,340 Feb 21, 2025 #91 Monetary doctor said: Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la Click to expand... Mzima uyu.. Juzi Jan alikua anajib nyuzi
Monetary doctor said: Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la Click to expand... Mzima uyu.. Juzi Jan alikua anajib nyuzi
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,368 Reaction score 8,407 Feb 21, 2025 #92 Mallerina said: Bila hela hakuna utamu Click to expand... π΄π΄π΄π΄
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,696 Reaction score 6,231 Feb 21, 2025 #93 Sinwar nasrallah said: π΄π΄π΄π΄ Click to expand... π€£
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,533 Reaction score 81,263 Feb 21, 2025 #94 Tayana-wog said: π³π€Huyu alifariki? π Click to expand... mcTobby said: π€¨ Click to expand... makutupora said: Sijaelewa kwamba huyu mtu alifariki? Click to expand... Monetary doctor said: Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la Click to expand... Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake.
Tayana-wog said: π³π€Huyu alifariki? π Click to expand... mcTobby said: π€¨ Click to expand... makutupora said: Sijaelewa kwamba huyu mtu alifariki? Click to expand... Monetary doctor said: Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la Click to expand... Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake.
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,210 Reaction score 18,277 Feb 21, 2025 #95 Mad Max said: Mzima uyu.. View attachment 3244832 Juzi Jan alikua anajib nyuzi Click to expand... Nimefurahi kumuona yupo active maake Kuna I'd nyingi humu za kitambo kirefu! Afu sipatagi wazo la kuview I'd yake
Mad Max said: Mzima uyu.. View attachment 3244832 Juzi Jan alikua anajib nyuzi Click to expand... Nimefurahi kumuona yupo active maake Kuna I'd nyingi humu za kitambo kirefu! Afu sipatagi wazo la kuview I'd yake
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,210 Reaction score 18,277 Feb 21, 2025 #96 Nime Chaliifrancisco said: Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake. Click to expand... ona madmax kanitag hapo
Nime Chaliifrancisco said: Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake. Click to expand... ona madmax kanitag hapo
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,482 Reaction score 5,133 Feb 21, 2025 #97 Chaliifrancisco said: Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake. Click to expand... Duh!
Chaliifrancisco said: Mleta mada yupo amechangia mwezi uliopita tu tarehe 25. Huyo dada aliemwambia akome kutoa namba ndio naona RIP kwenye ID yake. Click to expand... Duh!
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,210 Reaction score 18,277 Feb 21, 2025 #98 makutupora said: Duh! Click to expand... Watu wapo kimya kimya daah ππ....
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,482 Reaction score 5,133 Feb 21, 2025 #99 Monetary doctor said: Watu wapo kimya kimya daah ππ.... Click to expand... ππ Kuna umuhimu wa kujuliana Hali siku moja moja! Maana unaweza ukakaa kimya watu wanajua umevutaa!
Monetary doctor said: Watu wapo kimya kimya daah ππ.... Click to expand... ππ Kuna umuhimu wa kujuliana Hali siku moja moja! Maana unaweza ukakaa kimya watu wanajua umevutaa!
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,210 Reaction score 18,277 Feb 21, 2025 #100 makutupora said: Duh! Click to expand... Watu wapo kimya kimya daah ππ.... makutupora said: ππ Kuna umuhimu wa kujuliana Hali siku moja moja! Maana unaweza ukakaa kimya watu wanajua umevutaa! Click to expand... Muhimu aseeh...... Tunafikir ubize kumbe mambo yashakuwa mengi π
makutupora said: Duh! Click to expand... Watu wapo kimya kimya daah ππ.... makutupora said: ππ Kuna umuhimu wa kujuliana Hali siku moja moja! Maana unaweza ukakaa kimya watu wanajua umevutaa! Click to expand... Muhimu aseeh...... Tunafikir ubize kumbe mambo yashakuwa mengi π