Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,275 Oct 31, 2012 #61 Ulitumwa utoe namba yako ya simu mkomage na nyie saa nyingine unagawa namba kama unauza karanga????
ALLEX JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 2,006 Reaction score 346 Nov 1, 2012 #62 utazikiwa wapi????
Mnama JF-Expert Member Joined Oct 13, 2010 Posts 3,231 Reaction score 3,188 Nov 1, 2012 #63 mase88 said: watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa jamii forum ahaa naondoka nimechoka Click to expand... Ulifikiri ni kama FB huku au ?
mase88 said: watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa jamii forum ahaa naondoka nimechoka Click to expand... Ulifikiri ni kama FB huku au ?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,623 Reaction score 64,482 Nov 1, 2012 #64 pole habari za huko. Bishanga said: Bishanga sielewielewi,what is the issue here? Click to expand...
A ADK JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 2,236 Reaction score 810 Nov 1, 2012 #65 msindima said: mbona wakati unagawa hiyo namba hukutupa taarifa? Kama ambavyo ulifanya kwenye hiyo namba kimya kimya ungeondoka bila kuaga, unatuaga ili tufanyeje sasa? Click to expand... anataka abembelezwe
msindima said: mbona wakati unagawa hiyo namba hukutupa taarifa? Kama ambavyo ulifanya kwenye hiyo namba kimya kimya ungeondoka bila kuaga, unatuaga ili tufanyeje sasa? Click to expand... anataka abembelezwe
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,984 Reaction score 102,784 Nov 1, 2012 #66 Tatizo huyu alijua hapa ni facebook hadi atoe namba kwanza sidhani hata kuna mmoja mwenye namba yako hapa jf sasa mbona I'd inaonesha uko hewani ? Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Tatizo huyu alijua hapa ni facebook hadi atoe namba kwanza sidhani hata kuna mmoja mwenye namba yako hapa jf sasa mbona I'd inaonesha uko hewani ? Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Nov 1, 2012 #67 hahaha sridi nyingine bhana, kwahiy ounaogopa kutolewa out, au kuna mengine unayoyakimbia?! by id mase , karibu id mpya!
hahaha sridi nyingine bhana, kwahiy ounaogopa kutolewa out, au kuna mengine unayoyakimbia?! by id mase , karibu id mpya!
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,111 Nov 1, 2012 #68 Kumbe ulikuwemo JF!? Kwani JF ilihitaji namba yako? Kama uligawa mwenyewe, huko uendako KAGAWE ZAIDI
Mfufua Nyuzi JF-Expert Member Joined Mar 11, 2024 Posts 435 Reaction score 422 Feb 21, 2025 #69 Vipi bado unasumbuliwa?
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,871 Reaction score 37,644 Feb 21, 2025 #70 Dena Amsi said: Ulitumwa utoe namba yako ya simu mkomage na nyie saa nyingine unagawa namba kama unauza karanga???? Click to expand... 😳🤔Huyu alifariki? 🙌
Dena Amsi said: Ulitumwa utoe namba yako ya simu mkomage na nyie saa nyingine unagawa namba kama unauza karanga???? Click to expand... 😳🤔Huyu alifariki? 🙌
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 6,631 Reaction score 18,666 Feb 21, 2025 #71 Tayana-wog said: 😳🤔Huyu alifariki? 🙌 Click to expand... 🤨
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,209 Reaction score 18,270 Feb 21, 2025 #72 Miaka kumi na tatu nyuma alooh..... Nikiwa kijijini kwetu huko! Kuna mwingine naona R.I.P am feeling sorry to he/she.... secretarybird Bolotoba makutupora Hovering
Miaka kumi na tatu nyuma alooh..... Nikiwa kijijini kwetu huko! Kuna mwingine naona R.I.P am feeling sorry to he/she.... secretarybird Bolotoba makutupora Hovering
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,482 Reaction score 5,133 Feb 21, 2025 #73 Monetary doctor said: Miaka kumi na tatu nyuma alooh..... Nikiwa kijijini kwetu huko! Kuna mwingine naona R.I.P am feeling sorry to he/she.... secretarybird Bolotoba makutupora Hovering Click to expand... Sijaelewa kwamba huyu mtu alifariki?
Monetary doctor said: Miaka kumi na tatu nyuma alooh..... Nikiwa kijijini kwetu huko! Kuna mwingine naona R.I.P am feeling sorry to he/she.... secretarybird Bolotoba makutupora Hovering Click to expand... Sijaelewa kwamba huyu mtu alifariki?
B Bolotoba JF-Expert Member Joined Apr 24, 2024 Posts 4,539 Reaction score 10,375 Feb 21, 2025 #74 Monetary doctor said: Miaka kumi na tatu nyuma alooh..... Nikiwa kijijini kwetu huko! Kuna mwingine naona R.I.P am feeling sorry to he/she.... secretarybird Bolotoba makutupora Hovering Click to expand... Picha sijalielewa mkuu wa kitengo 😁
Monetary doctor said: Miaka kumi na tatu nyuma alooh..... Nikiwa kijijini kwetu huko! Kuna mwingine naona R.I.P am feeling sorry to he/she.... secretarybird Bolotoba makutupora Hovering Click to expand... Picha sijalielewa mkuu wa kitengo 😁
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,368 Reaction score 8,407 Feb 21, 2025 #75 Tayana-wog said: 😳🤔Huyu alifariki? 🙌 Click to expand... Pole dada
O October 29 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2024 Posts 3,148 Reaction score 4,452 Feb 21, 2025 #76 Dena Amsi said: Ulitumwa utoe namba yako ya simu mkomage na nyie saa nyingine unagawa namba kama unauza karanga???? Click to expand... Rest in peace ,Dah!
Dena Amsi said: Ulitumwa utoe namba yako ya simu mkomage na nyie saa nyingine unagawa namba kama unauza karanga???? Click to expand... Rest in peace ,Dah!
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,209 Reaction score 18,270 Feb 21, 2025 #77 Bolotoba said: Picha sijalielewa mkuu wa kitengo 😁 Click to expand... Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la
Bolotoba said: Picha sijalielewa mkuu wa kitengo 😁 Click to expand... Hata Mimi sijamsoma jamaa sijui yupo hai au la
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 10,209 Reaction score 18,270 Feb 21, 2025 #78 makutupora said: Sijaelewa kwamba huyu mtu alifariki? Click to expand... Kuna mmoja kaandikiwa R.I.P ko huwa nikiona hivyo naacha kusoma hata Uzi wenyewe
makutupora said: Sijaelewa kwamba huyu mtu alifariki? Click to expand... Kuna mmoja kaandikiwa R.I.P ko huwa nikiona hivyo naacha kusoma hata Uzi wenyewe
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 5,454 Reaction score 13,786 Feb 21, 2025 #79 Tayana-wog said: 😳🤔Huyu alifariki? 🙌 Click to expand... Ndo life hiyo mkuu, 🥺🥺
makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,482 Reaction score 5,133 Feb 21, 2025 #80 Monetary doctor said: Kuna mmoja kaandikiwa R.I.P ko huwa nikiona hivyo naacha kusoma hata Uzi wenyewe Click to expand... Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uhai! Hakuna maiti inayoweza kupanga Malengo na kutafuta mikakati ya kutimiza Malengo. Alale pema
Monetary doctor said: Kuna mmoja kaandikiwa R.I.P ko huwa nikiona hivyo naacha kusoma hata Uzi wenyewe Click to expand... Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uhai! Hakuna maiti inayoweza kupanga Malengo na kutafuta mikakati ya kutimiza Malengo. Alale pema