Kwaheri JF

Sidhani hapa kama tatizo ni namba ya sim uliyowapa hao jamaa zako minadhani unaona so kisa wamekufanya used, wakishamegawanasepa.
 
mleta uzi usije kuwa una ule ugonjwa wa watu wazim unaitwa STRESS..... ni hatari sana aisee mabaya zaidi hauna tiba kwa hiyo kila sehemu utakua unaingia na kutoka tuu
 
salamu zao, kwani kuhama JF ndiyo suluhisho? Jf simshauri mtu ahame hata kidogo imenipa Job, Maujanja ktk malovedav, maujanja ktk mikasa mbalimbali, Bado mchumba tu kama siyo mke kabisa,

wasalimie bwana @ UNASETI SIMU KIINGEREZA WAKATI HATA A, E, I, O, U HUJAENDA....TABU SANA,
KUWA MWANGALIFU HATA HUKO UENDAKO
 
Shost nitumie namba yako na mimi, mi sisumbuagi nafanya kweli, we jaribu tu uone
 
kwani wewe jinsia gani? unataka kwenda wapi facebook? usiende bana. kama vipi wablock wanao kusumbua usiku. tunakuhitaji sana jf. pole sana mkuu. mia
 
watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa jamii forum ahaa naondoka nimechoka


Ndoto za mchana ndani ya daladala zina maruwe ruwe! Yaana unaota umekuwaa maarufu JF watu wote wanakupigia simu hadi unakereka! AMKA WEWE!
 

Na mimi nataka number yako ili nikusumbuesumbue.
 
sikujua kama nakuudhi kiasi hiki kukupigia, pole ila ungeniambia.

Sipigi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…