asante, address yangu ni
s.l.p 2015 mwanza.
nyumba namba 12,
mtaa wa nyakurunduma
kijiji cha nyamwilolelwa
kata ya nyangh'olong'o
ubalozi wa mpolampolantondo
mwenye nyumba anaitwa suba
Bado upo kumbe?
Waweza nifafanulia hapo kwenye red unanifananisha na kina nani?hee kumbe na wewe ni kati ya waleee, hebu soma post yangu nlisema kuanzia lini!
share mume na gfsonwin hana roho mbaya, Kaizer awe mume wenu! kama mie nilivyo mke wa tatu hainipi shida, lol, ila usiondoke!mpnz, nimevumilia nimechoka kha! unajua nahc tatizo sina mume humu ndo maana wananisakama. sijui nitafte mume niolewe may be usumbufu utakoma! au unanishaurije dadangu wa moyoni?
hubby i missed u! welkam bak again, umenikumbuka au umenisahau kidogo??Waweza nifafanulia hapo kwenye red unanifananisha na kina nani?
Khaaa! Nikusahau wewe sasa ntamkumbuka nani?hubby i missed u! welkam bak again, umenikumbuka au umenisahau kidogo??
Vipi best ushapata dawa ya maleria? Vipi kuhusu maombi yetu umeridhia kukaa hapa jamvini? La mwisho kama vipi niko available maana mamndenyi inaelekea hana mpango na mimi. Nikusitiri? Halafu acha unyonge bana.
bby jana tu ulikosekana hapa, lakini naona kama mwezi umepita! mwahhhh karibu tena mkekani!Khaaa! Nikusahau wewe sasa ntamkumbuka nani?
Ndo ustaa huo bishosti.....! Star wa chitchat.... Kina Wema huoni wanavofurahiaaaaaa....
Sante mwaya, na hiyo Avatar imekuwaje tena? Kuna mtu alitaka kukunyonya macho nimsokomezee komavu gunzi makalioni?bby jana tu ulikosekana hapa, lakini naona kama mwezi umepita! mwahhhh karibu tena mkekani!
Madame B kwanza heshima yako, hakuna kitu kizuri kama kushare hubby, unakuwa stress free! mi hata nikiondoka mwezi najua Yummy na BADILI TABIA wanahudumia kama kawaida! lol,Jamani cacico mbona mnataka kumkomaza mwanafunzi wangu Kaizer kwa Mitala?
gfsonwin atakuelewa kweli si atajua mnataka kumchezea rafu?
Ila mpe tu charminglady uzoefu kama wewe uupatao kwa mme wenu Asprin anaweza akajifikiria.
nakwambia vimacho vilikuwa vinamkosesha mtu usingizi, nikaona isiwe tabu! nikaamua kuweka hiyo picha yangu wakati nipo first year ud, vimacho vyako peke yako hubby, lol!Sante mwaya, na hiyo Avatar imekuwaje tena? Kuna mtu alitaka kukunyonya macho nimsokomezee komavu gunzi makalioni?
Nani huyo malabuku zake? Anafunika shimo la Panya kwa mkate? Hahahahaha!! Usisome signecha yangu, nimeidediketia mtu flani hivi LOLnakwambia vimacho vilikuwa vinamkosesha mtu usingizi, nikaona isiwe tabu! nikaamua kuweka hiyo picha yangu wakati nipo first year ud, vimacho vyako peke yako hubby, lol!
Hahahahaha! Kijana wa mjini ntake razi. Bi ni babu wa charminglady, najua hata akiondoka atakuwa ananimisi sana. Si unajua tena...:biggrin1: mi namlaumu panadol a.k.a asprin ye ndo kila kukicha charmin lady charmin lady unaona sasa totoz anaondoka??!!