Tito Magoti
Member
- Oct 2, 2014
- 24
- 147
Una moyo wa kipekee hongera sana mkuuKatika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika.
Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako.
Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri.
Kwaheri Mhe. JPM.
Mimi Kwenye Utawala Wangu Sitaki MichakatoTusiumize watu, hapa duniani tunapita....
Mkuu pole sn kwenye utawala wetu ulipata misukosuko snKatika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika.
Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako.
Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri.
Kwaheri Mhe. JPM.
Mwenyewe nisingeweza hata kidogoUna moyo wa kipekee hongera sana mkuu
Mimi ndo kabisaaa...lol😅Mwenyewe nisingeweza hata kidogo
Ningejenga uadui mpaka kifo, sina urafiki na mtu yoyote atakaye chezea maisha yanguMimi ndo kabisaaa...lol😅
Mie akili zangu ningeenda lipua nyumba.chatoo hata kama ingechukua miaka 10...yaan unakiwashaNingejenga uadui mpaka kifo, sina urafiki na mtu yoyote atakaye chezea maisha yangu
Wewe umezidiMie akili zangu ningeenda lipua nyumba.chatoo hata kama ingechukua miaka 10...yaan unakiwasha
Mungu ni mwema!Una moyo wa kipekee hongera sana mkuu
Yaan ningefanikisha...akuWewe umezidi
OkYaan ningefanikisha...aku
Mungu ni mwema, tuko salama chief.Mkuu pole sn kwenye utawala wetu ulipata misuko
Pamoja comradeMungu ni mwema, tuko salama chief.