GABRAISON5
JF-Expert Member
- May 13, 2013
- 208
- 44
Huyu itakuwa chadema, kachanganyikiwa na kipigo cha ushindi wa CCM changanya na gongo.
Huyu itakuwa chadema, kachanganyikiwa na kipigo cha ushindi wa CCM changanya na gongo.
duh! kwa uandishi ule nahisi ma fbi ndo mmemuelewa.Nadhan mleta uzi alikuwa anamaanisha kuwa hata bet tena kwa timu zinazohusu epl.
sababu inaweza kuwa ni ligi ambayo haitabiliki, mfano timu inaongoza ligi alfu inakuja kufungwa au kudroo na timu iliyo chini kabisa katika msimamo.
sabbu hiyo imemfanya mleta uzi kuwa analiwa pesa yake kila akibet kwenye EPL, kwan ligi hiyo haitabiliki!
Huyu itakuwa chadema, kachanganyikiwa na kipigo cha ushindi wa CCM changanya na gongo.
Sio kila kitu ujifanye unajua, vingine uwe unapotezea, ona unaaibika buree..! Wadau wa jukwaa tushamuelewa anamaanisha nini.
Shawaini kabisa. Kama huelewi wakati mwingine ni bora ukae kimya na uwe msomaji wa wanachopost wenzako.
Na wee utakuwa ni chadema, kipigo cha mabao 23 kimekulewesha.
Mkuu kuna jmaa yngu nae kajitoa kubet EPL, ila yy sbbu kubwa ni upenzi, hawezi kubet timu yake ya arsenal kuwa inafungwa na hawezi kubet timu za man utd, man city, liverpool au totenham zishinde kwa kuwa anazichukia.Siku zote nimekuwa nikiwahusisha kwenye mikeka yangu mmeniangusha sana tena sana ila nikavuta subira nimeamua kuanzia kesho sitokuja kuwahusisha tena kwenye mikeka yangu mnampa faida kanjibah na kutusahau sisi wateja nasema ahsante