Kwaheri CCM kwa heri Uhuru

Kwaheri CCM kwa heri Uhuru

Mcharuko

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
209
Reaction score
175
Chama changu kimeharibu kabisa furaha ya karibu kila mmoja, Wengine tulikosa
la kusema tukaamua kunyamaa, lakini leo hata hiki kidogo cha kuangalia ITV, CLOUDS,
CHANEL 10 nacho mmetuchukulia EH! Chama changu kimezidi sasa, Wale wanaorudi
kutoka Upinzani mnasema mnatumia Busara kuwapa tena walewale, Ingawa kinachofanyika
sio BUSARA bali ni MABAVU.

KWANINI HIYO MNAYOITA BUSARA MUSIITUMIE TUKAENDELEA KUANGALIA LOCAL CHANELS?

RASMI LEO NAIHAMA CCM NITAHAMASISHA WANAWAKE WENZANGU KADRI YA UWEZO WANGU
TUIKATAE CCM .
 
Unajua Majukumu ya CCM na Serikali? Japo Serikali ni ya CCM.
 
Marudio ya uchaguzi yamekwisha,mtarudishiwa channel zote.
Walikuwa naogopa matangazo ya vurugu ya uchaguzi wa juzi😀 ni strategy za kishamba sana hizi.
 
Unajua Majukumu ya CCM na Serikali? Japo Serikali ni ya CCM.
Hata nikikuambia hapa haina maana, maana imeshindwa kutekeleza majukumu ya msingi imebaki kuwatia hasara
Watanzania kwa kusababisha marudio ya chaguzi.
 
Kama ni ccm keli na umeliona hili barikiwa sana utakua umetoka kwenye utumwa wa fikra.
Hongera sana.
 
Back
Top Bottom