maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,121
- 4,855
By by 2019Hopefully mko poa
Hii thread ni special kwa kuaga mwaka huu 20119
Najua wapo wengi ambao tulipishana kauli iwe direct or indirect, am here to apologize
Hawa ni baadhi ya ambao tulipishana kauli
Demi
Zero @IQ
joanah
Ntaomba mnisamehe ili tuanze mwaka mpya kiroho safi, bila hiyana, bila kinyongo na bila eagle yeyote
Kama na wewe pia kuna member mlikwaluzana kidogo, tukutane hapa kwene hii thread ili tuanze mwaka kwa Amani
Love you all
Kwaheri 2019
Haukuwa mwaka mzuri sana kwangu ila kwa Uwezo na nguvu za Mungu aliyeniumba unaishilia nikiwa nadunda nao.By by 2019
Usijari mkuu ila sidhani kama nami nilirudisha kwa maneno ya kuudhi kama ni hivyo basi nisamehe pia.Hopefully mko poa
Hii thread ni special kwa kuaga mwaka huu 20119
Najua wapo wengi ambao tulipishana kauli iwe direct or indirect, am here to apologize
Hawa ni baadhi ya ambao tulipishana kauli
Demi
Zero @IQ
joanah
Ntaomba mnisamehe ili tuanze mwaka mpya kiroho safi, bila hiyana, bila kinyongo na bila eagle yeyote
Kama na wewe pia kuna member mlikwaluzana kidogo, tukutane hapa kwene hii thread ili tuanze mwaka kwa Amani
Love you all
Kwaheri 2019
Hukurudisha mkuu, nashukuru pia kwa kunielewaUsijari mkuu ila sidhani kama nami nilirudisha kwa maneno ya kuudhi kama ni hivyo basi nisamehe pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu tuwekeze nguvu kubwa kwene kutafuta, ata kama mambo yataenda kombo kiasi ganiBye bye 2019Haukuwa mwaka mzuri sana kwangu ila kwa Uwezo na nguvu za Mungu aliyeniumba unaishilia nikiwa nadunda nao.
Nitauaga baadae kanisani kwa machozi kabisa nijiandae kumpokea mwaka mpya Twenty Twenty a.k.a 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Apology Accepted! Happy New year.Hopefully mko poa
Hii thread ni special kwa kuaga mwaka huu 20119
Najua wapo wengi ambao tulipishana kauli iwe direct or indirect, am here to apologize
Hawa ni baadhi ya ambao tulipishana kauli
Demi
Zero @IQ
joanah
Ntaomba mnisamehe ili tuanze mwaka mpya kiroho safi, bila hiyana, bila kinyongo na bila eagle yeyote
Kama na wewe pia kuna member mlikwaluzana kidogo, tukutane hapa kwene hii thread ili tuanze mwaka kwa Amani
Love you all
Kwaheri 2019
Mkuu kama utaendelea kula dada zetu kimasihara naona twende nalo tu 2020 ππππππ π πMkuu vvm na Suriya na wale member wote mnaotusema vibaya wadau wa Uzi wa kula kimasihara mje na hapa tupatane [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app