Kwa yeyote Mwenye Kuhitaji Mayai ya Kware (quail eggs)

African Believer

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
436
Reaction score
428
Habari wana JF,
Natumai mu wazima na mnaendelea na shughuli za kujenga taifa kama ilivyo ada. Mimi ni yuleyule mfuga mende.

Na kusudi la uzi wangu ni kuwajulisha wale wote wenye kuhitaji MAYAI YA KWARE (quail eggs) kwamba huwa nazalisha mayai hayo na mtu yeyote mwenye kuhitaji aweza kutoa oda yake hapa (hasa kwa wale waliopo DSM) na kupatiwa mara moja.

Nimehimizwa kuchapisha uzi huu kwani kuna wakati fulani niliwahi kuona uzi wa mwanajamvi mwenzetu aliyehitaji mayai hayo hapo kipindi cha nyuma. Mimi nipo Dar es Salaam.

Naomba kuwasilisha.
 
Mayai ya kware, kuna kipindi hii biashara ilivuma sana
 
Ni kweli kuna msimu yanapatikana kwa wingi na kuna kipindi hayapatikani kabisa Kwa sasa kware wanataga lakini baada ya muda mchache wataanza kuuzwa kwa ajili ya nyama hivyo itakulazimu uwe na wengine wadogo wanaokua. Jambo ambalo huwa gumu kutokana na changamoto ya upatikanaji wa masoko ya mayai kwa wakati huwalazimu wafugaji wengi kuwauza kwa ajili ya nyama.
 
mkuu, mayai ni shilingi ngapi?
nataka ninunue nifuge kupata exposure
 
Ni kweli kuna msimu yanapatikana kwa wingi na kuna kipindi hayapatikani kabisa Kwa sasa kware wanataga lakini baada ya muda mchache wataanza kuuzwa kwa ajili ya nyama hivyo itakulazimu uwe na wengine wadogo wanaokua. Jambo ambalo huwa gumu kutokana na changamoto ya upatikanaji wa masoko ya mayai kwa wakati huwalazimu wafugaji wengi kuwauza kwa ajili ya nyama.
Naona kware hawatrend sana kama zamani, au ndio ngoma ivumayo sana
 
hahaa yalitamba sana
mayai ya kware, mlongelonge,alovera, foreverliving n.k
 
kumbe siku hizi sio deal tena mayai ya kware yalilipamba jukwaa letu pendwa vilivyo
 
Back
Top Bottom