me cpo muce ila ni mwenyeji wa pandi hizo nastay iringa town.....kuhusu kiasi cha kwenda nacho kwa upande wako ni michango tu mingine ya chuo ingia kwenye web yao nadhan ipo kama caution money,identity card etc...na kuhusu vyumba vipo vya kutosha karibu na chuo ni wewe tu kuelewana bei na mwenye nyumba na ni vyema kutafuta kabla haujaripoti cz weng muce mna 100% xo kuna uwezekano wa weng wenu kukaa off campus hivyo wenye nyumba wakijua kod yaweza panda.....ni hayo tu