Calvinpaul
Member
- Dec 22, 2022
- 6
- 5
Habari wana JF
Aise nina ndugu yangu alinunua simu kwa mtu hizi za Nokia ni Nokia C21 plus kumbe ile simu ilikuwa ya mkopo sasa amejaribu kwenda kwenye ofisi za simu husika yaani D light ili waweze kumpa namba ya kulipia ile simu wamegoma eti mpaka muhusika aje aliyeuza na aliyeuza hapatikani.
Sasa kwa yeyote yule anayeweza kutusaidia tukaipata account namba ipo ya maji
Namba iliyosajiriwa ipo na pia jina la mhusika lipo tatzo ni account namba ya kufanyia malipo.