kwa yeyote aloexperience hii shida!

kwa yeyote aloexperience hii shida!

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2012
Posts
547
Reaction score
350
Local disk c kuoneka nyekundu kama imejaa! Kawaida huwa nna delete temp files, naondoa hybernated file inarudi fresh lakin baada ya muda mfupi tatizo larud tena je kuna permanent solution ya hii kitu asee!
 
Pia folders uki zi stere kwenye Desktop pale au kule kwenye user, dowloads na my document kote ni local disk c.. So kama umeweka data sehem hzo lazma rangnyekundu itokeeee
 
lakini pia kuna virus huwa anafanya hard disk ionekane kama imejaa vile hata kama hamna vitu vingi ulivyoweka
 
Thanx kwa michango fellas! Hdd yangu ni 60gb kw local disk C Sina files nyingi coz naitumia kwa kazi zangu za development ila kila file ninalotumia nimelisave kwenye external harddisk computer in softwares na documents chache sana hardly 10 gb!
 
Back
Top Bottom