Kwa yanayotokea, Kikwete aubebe msalaba wake

Victor wa happy

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
11,660
11,653
Kikwete ubabe wako upo wapi

Ulidhani unamuumiza lowasa kumbe unamuumiza kila mtanzania

Sitamlaumu maguful wala makonda nitamlaumu kikwete, yeye ndiye chanzo cha matatizo ya sasa

Kikwete umetuharibia nchi yetu wewe ndiye unapaswa kuwajibika na kutuomba radhi wa Tanzania
 
Umlaumu Kikwete kwa lipi? Rejea kauli za wanasiasa wa upinzani dhidi ya utawala wa Kikwete. Wengi walisema kuwa Kikwete ni raisi dhaifu, mpole, anaependa kucheka cheka na asiechukua maamuzi kwa haraka. Na baadhi ya hao hao wapinzan wengine wakavuka mipaka kwa kusema kuwa Tanzania ya sasa inahitaji raisi dikteta, mkali, asiecheka cheka na mwenye maamuzi magumu. So Kikwete alichofanya ni kuwaletea raisi mliemuhitaji na wala sio swala la ugomvi wa yeye na mtu yoyote. Huu ndo ukweli na ww unaufaham fika ila labda umeamua tu kumchafua kwa sababu zako binafsi au umefata mkumbo wa hao viongoz unaodai kuwa waligombana na Kikwete ndomanaa akamleta huyu.. Hizo ni polojo tu
 
Back
Top Bottom