Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,668
- 30,556
Nafikiri tufike wakati tuamue moja
Hauwezi kupeleka watu kadhaa mahakaman waliopoteza pesa kadhaa na wengine kuogopwa hata kujadiliwa bungeni
Kama mlipambana mkakubali Escrow kujadiliwa, hiyo kampuni ya mkataba na jeshi inanini muogope isijadiliwe?
Nafikiri mngewaachia tu kina Kitillya na Shose maana kwa kinachoendelea inaonekana wanaonewa tu.