G
guest-1788672427
Guest
Sina ndugu aliyefariki katika haya yaliyotokea
Lakini nimeshindwa kuelewa kwanini nateseka ???
Nateseka
kifua changu kinabana wakati mwingine pumzi naipata kwa shida
Moyo unaenda mbio
Kichwa nakiona kizito
Nahisi uchungu mwingi moyoni
Machozi hayakomi
Mbona kama nachanganyikiwa
Nifanye nini ili niwe sawa ??
Kifua kinabana napata joto kali
Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu.