Kwa yaliyotokea Mwanza halipo Jipya

Kwa yaliyotokea Mwanza halipo Jipya

Mburula kama hawa hushangaa kuona "their poking noses from time to time":

IMG_20210722_153610_628.jpg

Itapendeza zaidi Moderator ikiwapendeza ili wawe wanabakia huko huko buseresere, "pua pamoja na m@vi yao kwa amani."
 
Kuna tetesi Kuna zengwe anaundiwa mama ili aachie usukani ndani ya chama 2025, inasadikika mkakati unapangwa na vigogo ccm na serikalini.Lengo Ni kumfanya mama asikubalike kwa umma...

Itapendeza zaidi mwache aendelee kuingia kichwa kichwa.

Makamanda hulia machozi yakaingia ndani.

Mama asione watu wako kimya. Kimsingi kwa hili jana, hakuna tena benefit of doubt. Kalikoroga mwenyewe na sasa yuko exposed kuliko wakati mwingine wowote.

Wajinga ndiyo waliwao.
 
issue wala siyo katiba mpya, kuna jambo fulani ovu linalotakiwa; hii ni njia inayotumika ni namna tu ya kupita na kujaribu kuwapumbaza watu fulani wasing'amue ni nini haswa kinachoendelea..........nashukuru, nao wapo macho na makini kweli kuangalia haya yanayoendelea ingawa bado wapo kimya kwani ikifika muda wa kusema watasema. wameshahisi kitu, kuwa kuna na jambo......tena jambo haswaaa!!

Jitekenyeni wenyewe kisha mjichekeshe sana:

Ila mzizi wa fitina uko hapo. Mtoto yatima mmemfikisha sasa kunako haswa!

Safari hii hataishia kumshtakia Mungu. Si ndivyo mlivyokuwa mmezoweo nyie watoto wazuri wa mama?

Tulikuwa naye siku zote za mapambano:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.
 
Kwa yaliyotokea Mwanza kwa utawala huu kama ilivyokuwa kwa awamu ile, hakuna jipya.

Nisiache kumlilia hayati baba wa Taifa (rip) kiongozi mzalendo aliyejawa haiba zote za haki, uhuru na usawa:

View attachment 1862985

Kudai haki, uhuru, demokrasia na maendeleo hakujawahi kuwa rahisi. Ni jukumu zito la kizalendo na kihistoria linalosongwa vilivyo na kila aina ya shari, uzandiki, vikwazo, hatari, visa, vifungo na hata vifo.

"No easy walk to freedom" -- aliyaona Nelson Mandela.

Ni kujitolea kuliko kwa kiwango cha juu sana kuipita njia hii katika hali ya uaminifu uliotukuka.

"Viva kamanda Mbowe, kamanda Heche na makamanda wote kokote kule mliko. Ama kwa hakika hamko peke yenu."

Hapa tulipo, ni mwanzo tu. Kurudi nyuma siyo uchaguzi. Tuendako ni kugumu zaidi lakini haki haijawahi kushindwa. Inshallah tutafika.

View attachment 1862954

Tangu lini yatima akadeka? Kama ulivyo mtaji wa masikini, mtaji wake ni nguvu zake mwenyewe.

View attachment 1862958

"Tusipowakataa na kuwapinga viongozi kama hawa, basi janga kubwa linakuja na tabia zao ni za kidikteta" -- Julius Nyerere.

View attachment 1862989

Ni dhahiri zaidi sasa kuwa katiba mpya ni muhimu na ya dharura sana kuliko wakati mwingine wowote.

Muhimu mipango mikakati mipya ikaelekezwe kwenye kujilinda na kuwafidia wahanga wote wa harakati hizi tukufu.

Aluta Continua!
Umenipa hamasa hakuna kukata tamaa watz. Kwa watu chache!!
 
Umenipa hamasa hakuna kukata tamaa watz. Kwa watu chache!!

Wapumzike kwa amani Mwalimu Nyerere, Captain Komba na Mzee Kingunge:

"
.
.
Tulikuwa naye siku zote za mapambano:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.

Ametuondoka wakati tukimhitaji:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.

Sasa Twende wapi tukapate ushauri:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.

Kiza kinene kimetanda hatuna pa kukamata:
Mwenzetu,
Ndugu yetu,
Mwalimu Nyerere.

.
.

"
Ama kwa hakika wasituchukulie poa.
 
Ban Ni halali yako 100

%

Kupigania haki kuna gharama:

Gharama tutailipa gharama hiyo. Inshallah.
 
Kwa yaliyotokea Mwanza kwa utawala huu kama ilivyokuwa kwa awamu ile, hakuna jipya.

Nisiache kumlilia hayati baba wa Taifa (rip) kiongozi mzalendo aliyejawa haiba zote za haki, uhuru na usawa:

View attachment 1862985

Kudai haki, uhuru, demokrasia na maendeleo hakujawahi kuwa rahisi. Ni jukumu zito la kizalendo na kihistoria linalosongwa vilivyo na kila aina ya shari, uzandiki, vikwazo, hatari, visa, vifungo na hata vifo.

"No easy walk to freedom" -- aliyaona Nelson Mandela.

Ni kujitolea kuliko kwa kiwango cha juu sana kuipita njia hii katika hali ya uaminifu uliotukuka.

"Viva kamanda Mbowe, kamanda Heche na makamanda wote kokote kule mliko. Ama kwa hakika hamko peke yenu."

Hapa tulipo, ni mwanzo tu. Kurudi nyuma siyo uchaguzi. Tuendako ni kugumu zaidi lakini haki haijawahi kushindwa. Inshallah tutafika.

View attachment 1862954

Tangu lini yatima akadeka? Kama ulivyo mtaji wa masikini, mtaji wake ni nguvu zake mwenyewe.

View attachment 1862958

"Tusipowakataa na kuwapinga viongozi kama hawa, basi janga kubwa linakuja na tabia zao ni za kidikteta" -- Julius Nyerere.

View attachment 1862989

Ni dhahiri zaidi sasa kuwa katiba mpya ni muhimu na ya dharura sana kuliko wakati mwingine wowote.

Muhimu mipango mikakati mipya ikaelekezwe kwenye kujilinda na kuwafidia wahanga wote wa harakati hizi tukufu.

Aluta Continua!
Alitangulia Chiluba, Lenny Mwanawasa na baadaye Michael Sata. Chiluba alimsuluhu Kaunda, Lenny Mwanawasa akamsulubu Chiluba. Movie zinaendelea!
 
Alitangulia Chiluba, Lenny Mwanawasa na baadaye Michael Sata. Chiluba alimsuluhu Kaunda, Lenny Mwanawasa akamsulubu Chiluba. Movie zinaendelea!

Alikuwepo de Klerk akaja Mandela na ANC hakuna aliyesulubiwa. Wote baada ya Mandela ni ANC, katiba iko imara na leo Zuma yuko nyuma ya nondo maisha yanasonga!

Haki huinua taifa.
 
Alikuwepo de Klerk akaja Mandela na ANC hakuna aliyesulubiwa. Wote baada ya Mandela ni ANC, katiba iko imara na leo Zuma yuko nyuma ya nondo maisha yanasonga!
Read in between lines and do meta analysis you will comprehend my point
 
Read in between lines and do meta analysis you will comprehend my point

Haki huinua taifa. Haipo namna ya kuzikanyaga haki za watu daima:

Note the SA experience to comprehend the contrast with the Zambia experience.
 
Back
Top Bottom