Kwa wizi huu wa TANESCO, lazima tufike 1.9tr

Jadi

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
1,494
862
Sio siri hawa TANESCO wamepitiliza. Umeme wa 40,000/- kodi 23,000/- na service charge unapata umeme wa elfu 10?

Ndo kodi inakusanywa hivi??ili wafike 1.9tr??!!kweli tunaisoma namba!!

Units 36.5
Token 4.... .... .... ....
Cost TZS 10873.45
Serv Charge TZS 5520
Tax TZS 23606.55
Total TZS 40000
eSign
 
Sio siri hawa TANESCO wamepitiliza. Umeme wa 40,000/- kodi 23,000/- na service charge unapata umeme wa elfu 10??
Ndo kodi inakusanywa hivi??ili wafike 1.9tr??!!kweli tunaisoma namba!!
Units 36.5
Token 4.... .... .... ....
Cost TZS 10873.45
Serv Charge TZS 5520
Tax TZS 23606.55
Total TZS 40000
eSign

Ndugu TANESCO haipangi kodi, hizo ni kodi za Serikali na kila bidhaa unayonunua unalipia kodi. Hutakiwi kupeleka lawama za kuhusu kodi kwa TANESCO. Katika matumizi ya umeme gharama ya kodi ni 22%. REA 3%, EWURA 1% na VAT 18%.

Service charge ipo kwa mujibu wa sheria.

Naomba namba yako mkuu
 
hiyo kodi ya 22% mbona sijawahi kuiona mkuu, imeanza lini?
 
Sio siri hawa TANESCO wamepitiliza. Umeme wa 40,000/- kodi 23,000/- na service charge unapata umeme wa elfu 10?

Ndo kodi inakusanywa hivi??ili wafike 1.9tr??!!kweli tunaisoma namba!!

Units 36.5
Token 4.... .... .... ....
Cost TZS 10873.45
Serv Charge TZS 5520
Tax TZS 23606.55
Total TZS 40000
eSign

Hivi kwa nini tulipe VAT kwenye huduma ya umeme?

Swala lingine ni kuusu REA. Kwani nini nitozwe pesa kulipia umeme ambao tayari nililipa na nalipa kila mara nikinunua umeme. Nadhani REA inakusanya kwenye mafuta ili kupeleka umeme vijijini.

Kwa mtindo huu TANESCO wataendelea kuibiwa umeme na kupata hasara tu.
 
Ndugu Mzalendo Halisi
1. Gharama za huduma zipo kikatiba na kwa mujibu wa Sheria ya Bunge na nchi na si maamuzi ya TANESCO kupanga viwango vya Kodi na garama bali ni mdhibiti ambaye ni EWURA pamoja na mamlaka zingine husika kama TRA na si kweli kwamba ukinunua umeme wa elfu 40 unakatwa kodi ya shilingi 23,000 sawa na asilimia 57.5 kodi inayokatwa ni asilimia 18 Na zingine 3 kwaajili ya garama za umeme vijijini zinazoendelea za REA na EWURA asilimia 1 na SIYO asilimia 57.5 kama ulivyoainisha wewe hapo juu. Huo ni upotoshaji na kama hiyo token unayo tatizo lilikutokea ifikishe ofisi za Tanesco zilizo karibu yako utapatiwa msaada wa kushughulikia tatizo lako mara moja ama kupewa maelezo yaliyo sahihi.

2. KUHUSU SERVICE CHARGE/GARAMA YA HUDUMA ZA TANESCO; Gharama za Huduma ni gharama ambazo mteja analipa ili inapotokea TANESCO wanakuja mtaani kwenu kubadilisha nguzo iliyooza, kubadilisha waya uliokatika kwenye line ya mteja, kubadilisha mita yako ambayo ni mbovu, kukata matawi ya miti mtaani kwenu, kubadilisha transfoma iliyoibiwa mafuta au kuungua nk gharama hizo zifidiwe na michango hiyo ya "service charges" Ijulikane kwamba mfano waya, mita na nguzo ambazo mteja Ulilipia wakati unaingiziwa umeme kama zikiharibika, TANESCO wanakuja kukubadilishia bure. Je tufute "service charge" alafu nguzo ikianguka au mita kuharibika au ukitupigia emergency kuja nyumbani au mtaani kwako kutoa huduma tukucharge upya?
VIWANGO VYA "SERVICE CHARGE "
Wateja wote ambao hawazidishi unit 75 (D1) kwa mwezi hawalipi service charge. Na umeme wanauziwa TZS 100 kwa unit moja (Bila kodi). Ila ukizidisha unit. Kila unit utauziwa TZS 350.
Wateja wanaozidi unit 75 lakini hawavuki unit 7500 kwa mwezi (T1) wanalipa service charge ya TZS 5,520 na unit moja wanauziwa TZS 298 (Bila kodi). T2 na T3, ni kwa ajili ya wafanyabiashara, mahoteli, viwanda, migodi na wengine wanautumia umeme mwingi.
Kama una swali lolote tupigie 0800 780 800. Kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa 11.00 jioni.
 
Mitanzania sijui imelogwa? sijui uvivu? yani kila inayowekewa yenyewe ni kujadili tu hata bila ya kujiridhisha. Humu kila mtu ni mtumiaji wa umeme, tunajua calculations zao.

labda twende hapa

Tax ...40,000*18%=7,200
Service charges =5520
Cost Tzs =27280
Total TZS =40,000
Units = 91.5

SABABU YA CHUKI ZAKO AU UMLULA WAKO NDO UNATAKA KUPOTOSHA JAMII.
KARUDI SHULE UANZE NA MAGAZIJUTO THEN TAFUTA TUITION YA TABLE 1-12

It works like this

Taxable amount 40,000*18%=7200
Entitled to service charge 40,000-(40,000*18%)=32,800=40,000-7200
Remaining amount after tax 32,800
Remaining amount after srvice charges 32,800-5520=27,800
1 unit/298 This means 27,280/298=91.5

Ngombe wewe!
Unaweza kuwa sahihi au hapana. Lakini ni vyema kuwa na lugha ya staha.
 
Sio siri hawa TANESCO wamepitiliza. Umeme wa 40,000/- kodi 23,000/- na service charge unapata umeme wa elfu 10?

Ndo kodi inakusanywa hivi??ili wafike 1.9tr??!!kweli tunaisoma namba!!

Units 36.5
Token 4.... .... .... ....
Cost TZS 10873.45
Serv Charge TZS 5520
Tax TZS 23606.55
Total TZS 40000
eSign

Hivi kwa nini tulipe VAT kwenye huduma ya umeme?

Swala lingine ni kuusu REA. Kwani nini nitozwe pesa kulipia umeme ambao tayari nililipa na nalipa kila mara nikinunua umeme. Nadhani REA inakusanya kwenye mafuta ili kupeleka umeme vijijini.

Kwa mtindo huu TANESCO wataendelea kuibiwa umeme na kupata hasara tu.
 
Hivi kwa nini tulipe VAT kwenye huduma ya umeme?

Swala lingine ni kuusu REA. Kwani nini nitozwe pesa kulipia umeme ambao tayari nililipa na nalipa kila mara nikinunua umeme. Nadhani REA inakusanya kwenye mafuta ili kupeleka umeme vijijini.

Kwa mtindo huu TANESCO wataendelea kuibiwa umeme na kupata hasara tu.
Usishanga mkuu hii VAT haina maelezo kamili nashanga mpaka kwenye motor Vehicle licence kuna VAT
 
Sio siri hawa TANESCO wamepitiliza. Umeme wa 40,000/- kodi 23,000/- na service charge unapata umeme wa elfu 10?

Ndo kodi inakusanywa hivi??ili wafike 1.9tr??!!kweli tunaisoma namba!!

Units 36.5
Token 4.... .... .... ....
Cost TZS 10873.45
Serv Charge TZS 5520
Tax TZS 23606.55
Total TZS 40000
eSign
Mnh!! Nilikuwa sijachunguza kwa muda mrefu hii kitu!! Sie tupo Uswahilini na nyumba yetu wapangaji wote ni watu wa kima cha chini-- mwanafunzi, muuza duka, fundi cherehani (wa vyupi vya watoto wa uswazi!), konda wa daladala na akina sie tunaoishi kiujanja ujanja lakini umeme kwa mwezi ni zaidi ya 150,000/=!!!
 
Back
Top Bottom