Helow friends,
Poleni kwa uchovu na hongereni kwa kuianza weekend.
Kwa wale wanaoanza maisha leo nataka kukueleza vitu vichache tu; najua huwezi kuanza maisha bila vyombo kuna rangi chache ni nzuri sana ukinunua vyombo, ili kabati lako liwe nzuri na lakupendeza usikose izi rangi ni nzuri na zenye mvuto hii na kwa wote ata wewe kaka tu uliye bachela.
Nitakuonesha rangi chache ila kama nawe una rangi zako za vyombo unazopendelea utatupia hapa tuzione. Umeiona light blue kwenye hii picha hapa chini iyo ni rangi nzuri sana ukinunua vyombo vyako jitahidi usiikose.
View attachment 1761444