Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Wengi mtajifanya ni madaktari na maprofesa wa mapenzi lakini hakuna kitu.
Scenarios za mapenzi kwa kila mmoja wetu zinatofautiana sana,japo kwa mbali zinafanana.
Si kila achepukae ni muhuni au vipi, kuwa katika ndoa si kifungo cha maisha...what if mwenzi wangu alishanichepuka na situation yetu imekuwa irreparable? obvious lazima nichepuke ili nipate mwenzi mwingine...vinginevyo watangazwe watu rasmi ambao wao watakuwa standby kufanya-replacement za wenye ndoa pindi itokeapo migogoro iliyoshindikana kusuluhishwa.
Michepuko ipo na itaendelea kuwepo.