KWA WENYEJI WA SHINYANGA

KWA WENYEJI WA SHINYANGA

Zombishiie

Member
Joined
Apr 28, 2019
Posts
7
Reaction score
0
Nimepangiwa shule ya sekondari ndala iliopo halimashauri ya shinyanga mc anaye ifaham naomba anifahamishe kama kuna nyumba za waalim , nyumba za kupanga karbu na shule , umbali toka shinyanga mjini hadi shuleni, mazingira shule ilipo kama ni kijiji sana au .
 
Vyote vipo ni karibu na mjini ukirusha jiwe soko kuu
 
Nimepangiwa shule ya sekondari ndala iliopo halimashauri ya shinyanga mc anaye ifaham naomba anifahamishe kama kuna nyumba za waalim , nyumba za kupanga karbu na shule , umbali toka shinyanga mjini hadi shuleni, mazingira shule ilipo kama ni kijiji sana au .
Njoo nitakupangisha shule ipo mtaani kwangu kwa ujumla umeula HUDUMA zote za kijamii zipo kwasababu ni mjini
 
Nimepangiwa shule ya sekondari ndala iliopo halimashauri ya shinyanga mc anaye ifaham naomba anifahamishe kama kuna nyumba za waalim , nyumba za kupanga karbu na shule , umbali toka shinyanga mjini hadi shuleni, mazingira shule ilipo kama ni kijiji sana au .
Shule ya sekondari ndala ipo NDANI ya manispaa ya shinyanga na ipo mtaa wa ndala shinyanga mjini kutoka shuleni Hadi mjini NI km2 karibu Sana.
 
Shukrani kwa maelekezo ubarikiwe
 
Ila nyumba za shule hakuna,jiandae kupanga.Kwenda mjini kati ni kwa mguu tu.Hongera kuliko ungepangiwa Simiyu Gamboshi.Gamboshi unalala ndani ila usishangae kuamka upo nje hasa ukiwa mwalimu mnoko.
 
Ndala ni mjini kabisa kama walivyojibu wadau hapo juu, Maji ya Z. Victoria 24 hrs, umeme ni wa uhakika pia, in fact mji unaelekea huko pia maana Hospitali ya Rufaa ya Mkoa inajengwa uelekeo huo (road to Mwawaza)
 
Oky shukrani kwa taarifa
 
Ila nyumba za shule hakuna,jiandae kupanga.Kwenda mjini kati ni kwa mguu tu.Hongera kuliko ungepangiwa Simiyu Gamboshi.Gamboshi unalala ndani ila usishangae kuamka upo nje hasa ukiwa mwalimu mnoko.
Oky vyumba ni bei gani mtaani ?
 
Back
Top Bottom