Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,163
- 7,714
Mkuu, siku nyingi hujafika Shy! Mwoleka nayo ni Hotel? Baada ya kufa mmiliki, nayo ikafa!Lkn pia kuna
Vigimark
Liga
Mwoleka
Brolisa
Karena...nk
Mkuu, siku nyingi hujafika Shy! Mwoleka nayo ni Hotel? Baada ya kufa mmiliki, nayo ikafa!Lkn pia kuna
Vigimark
Liga
Mwoleka
Brolisa
Karena...nk
Hapo ya maana ni Karena basi.. sema Umbali kutoka Stend.Mkuu, siku nyingi hujafika Shy! Mwoleka nayo ni Hotel? Baada ya kufa mmiliki, nayo ikafa!
Nyama ya Kiti moto nayo Itapatikana??.Maeneo ya Bakurutu pale kuna ka guest bubu aiseee ni kama bucha maan kila aina ya nyama unapata
Hadi nyama ya popoNyama ya Kiti moto nayo Itapatikana??.
Hapo pananifaaa sana.Hadi nyama ya popo
Karibu mkuu:Asante.
Asante boss.Karibu mkuu:
1. Vyakale iko Lubaga, Price 25,000 - 50,000
2. Liga hotel , Lubaga Price 20,000 - 50,000
3. Malaika , Lubaga Price 20,000 and above
4. Shinyanga Faires Hotel, Lubaga, 20,000 and above
5. Vigmark hii ndio miongoni mwa hotel kubwa, in vyumba mpaka vya 200,000 , hizo ni lodge na Hotel church ndio bahati lodge nzuri kwa Sasa, Karibu Shy!
Ma.la.ya wapo pale mageti nane jirani na uwanja wa Kambarage. Pale utapata hadi wa bukuHbr Wakuu, nipo Safari naelekea Shinyanga, naomba kujulishwa Guest nzuri yenye huduma nzuri za Malazi na Chakula plus Vinywaji.
Sasa wanawa. Ke anapataje huko?Liga,Malaika au vigimark Nmekuwa nkizitumia hzo mkuu. But also kuna Lodge nzuri tu karibu na stendi ya mabasi ya mkoa ni nzuri kwa nje but sijui ndani zinavofanana.
Aende Mashauzi Pub...atakutana na KibabuSasa wanawa. Ke anapataje huko?
wazee wa ngonoHbr Wakuu, nipo Safari naelekea Shinyanga, naomba kujulishwa Guest nzuri yenye huduma nzuri za Malazi na Chakula plus Vinywaji.
kuna madada wa vyuo hukoKaribu mkuu:
1. Vyakale iko Lubaga, Price 25,000 - 50,000
2. Liga hotel , Lubaga Price 20,000 - 50,000
3. Malaika , Lubaga Price 20,000 and above
4. Shinyanga Faires Hotel, Lubaga, 20,000 and above
5. Vigmark hii ndio miongoni mwa hotel kubwa, in vyumba mpaka vya 200,000 , hizo ni lodge na Hotel church ndio bahati lodge nzuri kwa Sasa, Karibu Shy!
Makumbusho lounge,nela park zinabambaNipo shy now, naweza pata wapi sehemu ya kupiga bia inayo happen kinoma, now nipo amaizing supermarket mtaa wa uhuru nafikiria kiwanja cha kwenda
Acha upumbavu weweNi Kweli wewe una Matatizo kwasababu sijakulazimisha unijibu. Km unahisi ninakusumbua basi pita kule.
Daah, kibabu yule shoga bado yupo hai hadi leo?Aende Mashauzi Pub...atakutana na Kibabu