Kwa wenyeji wa mkoa wa Mara

Kwa wenyeji wa mkoa wa Mara

Huo msosi ni balaa, uupate huo halafu ushushie na NYAGI sato mkubwa, halafu upumzike kama dakika 40 uingie uwanjani,nakwambia utakumbukwa milele daima.
 
Ha ha ha ha ha ha ha haaaaaah, huu ugali nikila naweza kukaa siku mbili bila njaa
 
Back
Top Bottom