U ufumawicha JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 510 Reaction score 213 Jun 12, 2014 #1 Naomba mnijuze vyuo vya afya vya private mkoani mwenu ninataka kuwasiliana nao ili wanieleweshe kama mdogo wangu kwa sifa alizonazo anaweza kujiunga.
Naomba mnijuze vyuo vya afya vya private mkoani mwenu ninataka kuwasiliana nao ili wanieleweshe kama mdogo wangu kwa sifa alizonazo anaweza kujiunga.
musangano Senior Member Joined Nov 17, 2012 Posts 138 Reaction score 78 Jun 12, 2014 #2 Kuna chuo cha ifisi karibia na songwe airport, ni hospitali teule, ila sina namba zao.
sambilangwa Member Joined Apr 19, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Jun 12, 2014 #3 Ifisi ni pazuri we panda gari kuelekea tunduma mwambie konda ifisi kituo utakuwa umefika
U ufumawicha JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 510 Reaction score 213 Jun 12, 2014 Thread starter #4 Naombeni na mawasiliano ya hicho chuo cha ifisi mnachosema au hata website yao