Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,789
Andika social bonus tuma kwenda 15166
Sijamuomba mtu hela kaka cio lazima utak acha wanaotumia tigo watakuja kuthibitisha hiliAcha utapeli....
Hapana bado ipo mm nimetuma sms mida ya mchana nimepata naperuzi kokote kuleAisee hii sms nilijua utani nikapuuzia, waliowahi asubuhi wawili wamepata MB wamescreenshot wakatuma kwenye group, ila mimi nilipotuma nilikosa nilikuwa nimeshachelewa.
Siku 4 hyo ofa inaishaMB 600 sio
Dadeki
Weweee ,halafu jamaa wanao shabikia huenda yaliwakuta
Imejiondoa katika hyo huduma itakua umetuma sms mara nyingi tuma sms mara moja tuDear customer you have successfully unsubscrubed from stop charge day 4 service
Nimetumiwa hii sms ila sijaielewa vizuri
Kweli nimetuma sms mara mbiliImejiondoa katika hyo huduma itakua umetuma sms mara nyingi tuma sms mara moja tu